XCLUSIVE : TAZAMA PICHA 6 ZA HOTEL AMBAYO INA VYUMBA MPAKA CHINI YA BAHARI ILIYOPO ZANZIBAR!! NI GUMZO DUNIANI








 
The Manta Resort, Pemba Island, Tanzania, NDIYO HOTEL AMBAYO imekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari vikubwa duniani kama vile CNN baada kuwa na upekee wa hali ya juu. Katika hoteli hiyo kuna vyumba ambavyo vipo chini ya bahari kama picha zinavyoonyesha. Bei yake sasa kulala kwa usiku mmoja ni balaa, $1500 per night for a two-person stay, $900 per night for singles. KAZI KWAKO MTALII WA NDANI
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs