The Manta Resort, Pemba Island, Tanzania, NDIYO HOTEL AMBAYO imekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari vikubwa duniani kama vile CNN baada kuwa na upekee wa hali ya juu. Katika hoteli hiyo kuna vyumba ambavyo vipo chini ya bahari kama picha zinavyoonyesha. Bei yake sasa kulala kwa usiku mmoja ni balaa, $1500 per night for a two-person stay, $900 per night for singles. KAZI KWAKO MTALII WA NDANI
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII