Pages

Wednesday, December 25, 2013

BREAKING NEWS: KOCHA WA SIMBA AFARIKI DUNIA


James Kisaka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu. Global Publishers tunatoa pole kwa ndugu na jamaa.
MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA

SOURCE: GPL

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII