
Baada kutokuwa na mtu anayeeleweka kwa jamii kuwa ndio mpenzi wake rasmi, Mwanamuziki nguri na judge katika shindano maarufu hapa Africa la Tusker project fame, Juliana Kanyomozi hatimaye amemmweka wazi mpenzi wake mpya ambaye ni mganda aishie Africa kusini, King Lawrence, Lawrence ni tajiri mkubwa na mfanya biashara maarufu nchini Uganda......Thatz it Best wishes Juliana na King Lawrence
Juliana akiwa na King Lawrence katika picha iliyozua maswali mengi zaidi

Muendelezo wa picha ambazo zinaashiria kitu baina ya hawa watu, Juliana King Lawrence

No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII