HATIMAYE MSANII JULIANA KANYOMOZI AMWEKA HADHARANI MPENZI WAKE MPYA, BOFYA HAPA KUSOMA NA KUTAZAMA PICHA

Bold JULIANA KANYOMOZI Might Finally Be DATING 


Baada kutokuwa na mtu anayeeleweka kwa jamii kuwa ndio mpenzi wake rasmi, Mwanamuziki nguri na judge katika shindano maarufu hapa Africa la Tusker project fame, Juliana Kanyomozi hatimaye amemmweka wazi mpenzi wake mpya ambaye ni mganda aishie Africa kusini, King Lawrence, Lawrence ni tajiri mkubwa na mfanya biashara maarufu nchini Uganda......Thatz it Best wishes Juliana na King Lawrence

Juliana akiwa na King Lawrence katika picha iliyozua maswali mengi zaidi
Is King Lawrence Dating Juliana Kanyomozi?
Muendelezo wa picha ambazo zinaashiria kitu baina ya hawa watu, Juliana King Lawrence

Juliana and King Lawrence attend the Ciroc Zari white party
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs