Pages

Monday, December 23, 2013

KLABU YA MZIKI WA GOSPEL TU INAFUNGULIWA DAR, SOMA HAPA


 


KWA MARA YA KWANZA TANZANIA TAREHE 25 MWEZI WA 12, ITAFUNGULIWA NITE CLUB ITAKAYOKUA INACHEZA MUZIKI WA GOSPEL TU NA SI AINA NYINGINE YA MUZIKI, CLUB AMBAYO ITAKUA NA RESTRICTION KUANZIA KWENYE MUONEKANO WA WATEJA WA KIUME NA WA K***, MAOMBI PIA YATAKUA YANAFANYIKA KTK YA SHOWS, NA VITU KAMA HIVYO, IKO MAENEO YA MBEZI TANGI BOVU, INAITWA ELA GOSPEL CLUB
255 IMEPIGA STORY NA MENEJA WA CLUB HIYO WALTER ODEMBA, HUYU ANAFUNGUKA

PIA AKAZUNGUMZIA AINA YA VINYWAJI VITAKAVYOKUWA VINAPATIKANA, JE NA KUTAKUA NA KA GIZA FLANI HVI NDANI YA ELA GOSPEL CLUB, NA JE IDEA ILIKUJA VP MPAKA WAKAANZISHA NITE CLUB YA AINA HII

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII