Msanii anaejulikana kwa
jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na
mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na
leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo.
akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa
na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka
mkoani tanga
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII