Ndugu na jamaa wa Mandela wakiwa wamekaa uwanjani huku mvua ikinyesha katika ibada ya kumkumbuka Mandela.
Picha kubwa ya Mandel ikiwa katika Uwanja wa FNB.
Rais Obama wa marekani (katikati) akiwa na mkewe Michele (kulia) na Waziri Mkuu wa Denmark Helle Thorning-Schmidt.
Mabinti wa Mandela (toka kushoto) Zindzi, Zenani na Makaziwe Mandela, na mkewe wa zamani Winnie Mandela Madikizela.Uwanja ulipofanyika ibada ya kumkumbuka Mandela.
MARAIS kibao na wananchi wa Afrika Kusini na kutoka duniani
walikusanyika katika uwanja wa FNB wa Soweto katika kumkumbuka rais
mstaaafu wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela.
PICHA ZOTE NA DAILYMAIL
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII