PICHA ZA MAANDALIZI YA SEHEMU YA MAZIKO YA HAYATI NELSON MANDELA ZIKO HAPA
Hili
ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson
Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia
kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa
makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII