Showing posts with label Tryphone Nyahinga. Show all posts

HAPPY BIRTHDAY MY YOUNG HOSEA PLATNUMZ (ANGAZA TZ)...ONE LOVE BRO

0 comments

 
HAPPY BIRTHDAY HOSEAPLATNUM
First ninge penda kumshukuru mungu kwa kufika siku ya leo kwani plenty ov ppal wished to reach today but mungu aka wapenda zaidi.Rest in Peace my father Athanas..pili i would like to thank my mama kwa upendo wake na malez yake na kila kitu anachonitendea mie ka mwanae..na mpenda sana mama yangu yeye ndo kila kitu na nkisema nishukuru bhas sitamaliza kwani she is at the summit at all no one like my mama pia mpenzi wangu HAIKA JAFAR kipenz kwa upendo wake na heshima pia..tatu shukran zangu za dhat ziwafikie Eddie sucre,Pius mapunda,Gody Godwin unstoppable, Francis mtey (TEAM BONGOCLANTIZ ),JOSHUA DUMA ,TRYPHONE na wadau wooote wanao appreciate my work I wish nge mention wote but daaah its hard to do so,,lakin kinacho nifurahisha ni kuwa nimekua na company na msanii IZZO BIZNESS kwani nae alizaliwa tarehe na siku kama ya leo ....nawapenda sana na niwatakie MARRY XMASS AND HAPPY NYU YAAA KWANI NAM FEEL LUCKY AND PROUD TO BE BORN WITH JESUS TODAY LOVE YOU ALLL A FUNS
                                                                 HAPPY BIRTHDAY IZZO BIZNESS

Soma zaidi Hapa »

IT'S DONE!!!!! THANKS GOD I HAVE MY MASTERS NOW!!!!

0 comments
THANKS GOD KWA KUNIFIKISHA HAPA

Natural Resources Manager

The smile of Victory, THANX GOD

Me and my Young bro, Victor Misana


MamDOGO, and I
Hakika ni safari ndefu ambayo nimepitia, NAMSHUKURU SANA MUNGU kwa kuniwezesha kufikia hatua hii leo tarehe 23/11/2013 Nimehitimu degree ya pili (Mater of Science in Natural Resources Mangement). Namshukuru Mama yangu kwa kunifikisha hapa, MUNGU akubariki sana Mama yangu Veronica Busungu, Baba Steven Nyahinga, kaka zangu Gabriel na Nicas na dada angu wa pekee Leah. Nawashukuru sana jamani na Mungu awazidishie na awabariki sana. Marafiki zangu, Gabriel Mayengo (BIG THANKS), Victor Misana, Matheus Cassian, Delphinus, Bakari Zuberi, Mwijage, Alex Wilbrad na wengine weeengi sana, NAWASHUKURU NA NAWAPENDA SANA. Pia namshukuru my fiancee Judith, Mungu akubariki mama angu..."NAWAPENDA SANA"!!!!!!

                                                       ONE LOVE AND BE BLESSED GUYS


Soma zaidi Hapa »

SOMENI PUMBA ALIYOANDIA MBUNGE WA KIGOMA MJINI KUHUSIANA NA MLIPUKO WA MABOMU ARUSHA.....DUUH!!!!

0 comments

"TUKIO LA ARUSHA LIMENIFANYA NIAMINI KUWA TANZANIA KUNA WANARIADHA WAZURI".....HUU NI UTUMBO WA MBUNGE SERUKAMBA


Tukio la bomu la Arusha  limewasitua wengi  kufuatia  vifo  vya  wananchi  wanne  wasio  na  hatia....

Nasema  hawana  hatia  kwa  sababu  siku ya  tukio  wananchi  hao  walikuwa  katika  mkutano  wa hadhara wa  chama  chao  ( CHADEMA )  sawa na ambavyo  wangeweza  kuwa  katika  mkutano  mwingine  wowote  wa  kisiasa....

Pamoja  na  majonzi  waliyonayo  wananchi, wanasiasa wetu  wanaonekana  kutoguswa  kabisa  na  vifo  hivyo  ambavyo  kwa  mtazamo  wangu  nathubutu  kusema  kuwa  chanzo  cha  yote  ni  wao .....

 Jana kupitia  account  yake  ya  twitter, mbunge  Serukamba  alidai  kuwa  tukio   la  Arusha  halimpi  fundisho  lolote  zaidi  ya  fundisho  moja  tu  kwamba  TANZANIA  KUNA  WANARIADHA  WAZURI.....

Tunapata  fundisho  gani  hapa???... Ndugu zetu  wamekuwa  wakipoteza  maisha  kila  mara  kupitia  mikutano  ya  wanasiasa wetu....

Cha  kushangaza  ni  kwamba, wanasiasa  haohao wamekuwa  wakitucheka  na  kutudhihaki...!!!

Kauli hii  ni  fundisho  tosha.
 

Najaribu  kuihusisha  kauli  ya  mbuge  huyu  na  tusi  la  nguoni  alilowahi  kulitoa  bungeni  la  "COME ON  FU**K  U"...ili  nimjue  alivyo

Matukio haya  yanatosha  kumpima  Serukamba  na  kumjua  jinsi  alivyo...!!!

Soma zaidi Hapa »
0 comments
The Computer and its related programs has got some severe effects, physically and psychologically. Youths are more likely to affected by Cyber technology.
Soma zaidi Hapa »
Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs