BAADA YA WABONGO KUONGEA SANA, HATIMYE RAY AWEKA PICHA ZAKE MTANDAONI...AKIONYESHA KINACHOMKONDESHA
Baada ya wadau wengi kuendelea kuhoji
kuhusu kupungua kwa mwili Ray ameamua kuweka picha mbalimbali akifanya
mazoezi gym special kwa fans wake. N a hiki ndicho kimemfanya apungue mwili na kama alivyosema kuwa anajiandaa pia kwa ajili ya kufanya project zake ambazo zitamfaa akiwa na mwili huu. Big up sana Ray
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII