Baada ya wadau wengi kuendelea kuhoji
kuhusu kupungua kwa mwili Ray ameamua kuweka picha mbalimbali akifanya
mazoezi gym special kwa fans wake. N a hiki ndicho kimemfanya apungue mwili na kama alivyosema kuwa anajiandaa pia kwa ajili ya kufanya project zake ambazo zitamfaa akiwa na mwili huu. Big up sana Ray
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII