HUU NDIO UJUMBE WA KICHOCHEZI WA UAMSHO UNAOMHUSU MUFTI MKUU.....SOMA WALICHOKIANDIKA HAPA
Huo ndio ujumbe ulioandikwa na
jumuiya ya uamsho zanzibar, ukiwa na lugha za kichochezi dhidi ya
ukristu. Kutokana na ujumbe huo kuna maneno yanayowaita wakristu hasa wa
dini ya katoliki kua na makafiri na Sheikh Simba kaungana na makafiri
yani wakristu na kuuacha uislam. Mimi nikiwa kama admia wa
Bongoclantz.com nimesikitishwa na maneno hayo ukizingatia ya kua kila
siku tunapiga kelele kuhusu amani na huku kuna watu kama hawa
wanaochochea uvunjifu wa amana katika nchi yetu. kilichonisikitisha ni
kua kuna baadhi ya watanzania waliochangia post hiyo kutoa maoni
yanayodhihilisha kua endapo siku itatokea vita kati ya dini hizi mbili
yuo tayari kumkata mtu wa dini tofauti na yake mapanga na kufa.
Nashindwa kuelewa serikali ipo wapi kuifunga account hii?
SOURCE: BongoClantz
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII