Pages

Friday, March 15, 2013

HUU NDIO UJUMBE WA KICHOCHEZI WA UAMSHO UNAOMHUSU MUFTI MKUU.....SOMA WALICHOKIANDIKA HAPA

Huo ndio ujumbe ulioandikwa na jumuiya ya uamsho zanzibar, ukiwa na lugha za kichochezi dhidi ya ukristu. Kutokana na ujumbe huo kuna maneno yanayowaita wakristu hasa wa dini ya katoliki kua na makafiri na Sheikh Simba kaungana na makafiri yani wakristu na kuuacha uislam. Mimi nikiwa kama admia wa Bongoclantz.com nimesikitishwa na maneno hayo ukizingatia ya kua kila siku tunapiga kelele kuhusu amani  na huku kuna watu kama hawa wanaochochea uvunjifu wa amana katika nchi yetu. kilichonisikitisha ni kua kuna baadhi ya watanzania waliochangia post hiyo kutoa maoni yanayodhihilisha kua endapo siku itatokea vita kati ya dini hizi mbili yuo tayari kumkata mtu wa dini tofauti na yake mapanga na kufa. Nashindwa kuelewa serikali ipo wapi kuifunga account hii?
HAYA NI BAADHI YA MAONI YENYE KUONYESHA CHUKI DHIDI YA SHEIKH SIMBA
SOURCE:      BongoClantz

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII