PICHA : WABUNGE WALIOJIUNGA JKT WAKIWA KATIKA MAVAZI YA KIJESHI
Makuruta
wa Jeshi la Kujenga Taifa kuanzia kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini,
Zitto Kabwe, Jane Kaaya, Abdallah Haji na Mbunge wa Viti Maalum, Raya
Ibrahim wakiwa katika Kambi ya Mgambo JKT, Kikosi cha 835KJ
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII