Pages

Friday, March 15, 2013

PICHA : WABUNGE WALIOJIUNGA JKT WAKIWA KATIKA MAVAZI YA KIJESHI

Makuruta wa Jeshi la Kujenga Taifa kuanzia kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Jane Kaaya, Abdallah Haji na Mbunge wa Viti Maalum, Raya Ibrahim wakiwa katika Kambi ya Mgambo JKT, Kikosi cha 835KJ

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII