DUUH!!!! “NISHATEMBEA NA MASTAA WA KIKE 32”
Hii ni kauli iliyotolewa na Mcheza Filamu & Msanii wa Bongo fleva HEMED SULEIMAN alipofanya mahojiano na Martin Kadinda katika Blogu yake.Nilitaka kujua ni vijana wangapi watuamiji wazuri wa condoms hasa kwa vijana maarufu. Mtu wangu wa kwanza amekuwa Hemed Suleiman aliniambia: "we jamaa maswali gani hayo bana? mimi kondomu za nini? muda wote mimi nakwenda dry... anakaongezea kuwa alikuwa katika mahusiano na msichana mmoja ambaye hajataka kumtaja na anasema kwa sasa wameachana imepita miezi 3... anasema aliwa kupima nae virusi vya ukimwi na walipojikuta wako safi wakaamua kujilipua kavu kavu....Alinichosha na majibu yake ikanibidi nihamie katika swali la pili: ambapo nilimuuliza kama amewahi kuwa katika mahusiano na wasichana wakitanzania maarufu? HEMED: Marti Martin...... unauliza kengele kanisani??? unadhani kwanini naitwa Hemed PHD? nina taaluma ya kucheza na mioyo ya mabinti hawa wakibongo.... ila tatizo hawanivutii huwa napita tu kwakuwa nina hamu na wakati huo au ninakuwa sipo katika mahusiano na mtu yoyote.... KWA HISANI YA MARTIN KADINDA
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI




0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII