Showing posts with label michezo. Show all posts

KWELI AZAM NI KIBOKO, TAZAMA PICHA ZA BASI WALONUNUA, LINA TV KILA SEAT NI ZURI SANA

0 comments


Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi.

 Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.



Kitu cha maana
Kila siti ina TV
Kuna friji
Kuna choo

Soma zaidi Hapa »

MATOKEO YA MECH YA MAN U NA HULL CITY NDIO HAYA

0 comments

Wafungaji wa Man Utd: Chris Smalling 19', Wayne Rooney 26',  James Chester 66' OG
Wafungaji wa Hull City: James Chester 4' , David Meyler 13'

Soma zaidi Hapa »

KWELI AZAM TV KIBOKO!! TAZAMA PICHA ZA MITAMBO YA HATAARI WALIYOSHUSHA, NI BALAA

0 comments
 





Usiache kununua kisimbuzi (king’amuzi) chako cha Azam TV haraka uweze kujionea uhondo huu live, Mechi 26, viwanja viwili, timu 12 Bingwa mmoja
 Timu nzima ya Azam TV Burudani kwa wote itakuwa Unguja na Pemba kuwaletea LIVE mashindano ya Mapinduzi Cup 2014. Timu za Simba, Yanga, Mbeya City, Unguja Combine, Pemba Combine, Chuoni, KMKM, AFC Leopards na Tusker toka Kenya na URA na KCC za Uganda zimethibitisha kushiriki
Ratiba ya mechi ni mechi tatu kila siku saa 10:00 Jioni, Saa 01:00 Usiku na saa 02:30 Usiku kuanzia Tarehe 1 Januari 2014 hadi tarehe 13 January 2014

 

 

 

Soma zaidi Hapa »

BREAKING NEWS: KOCHA WA SIMBA AFARIKI DUNIA

0 comments

James Kisaka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu. Global Publishers tunatoa pole kwa ndugu na jamaa.
MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA

SOURCE: GPL

Soma zaidi Hapa »

BREAKING NEWS: KOCHA WA SIMBA AFARIKI DUNIA

0 comments

James Kisaka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu. Global Publishers tunatoa pole kwa ndugu na jamaa.
MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA

SOURCE: GPL

Soma zaidi Hapa »

ARSENAL, CHELSEA HAKUNA MBABE, LIVERPOOL BADO IKO JUU

0 comments
Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kulia) akipiga mpira mbele ya beki wa Chelsea, Gary Cahill.
Frank Lampard wa Chelsea (kushoto) akikwaana na Mesut Ozil wa Arsenal wakati wa mchezo wa leo uliomalizika 0-0.
Mchezaji wa Chelsea, Eden Hazard, akijaribu kumtoka kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey (kulia). Kati ni Theo Walcott.
 Frank Lampard wa Chelsea akiwa chini na beki wa Arsenal, Bacary Sagna (juu) wakati wa patashika ya mechi ya leo.
Timu za Arsenal na Chelsea zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 kwenye mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa Uwanja wa Emirates jijini London hivi punde!
Kwa matokeo ya leo Arsenal wamefikisha pointi 36 sawa na Liverpool lakini wakiwa nafasi ya pili. Liverpool wao wanaongoza kwa tofauti ya mabao 23 huku Arsenal wakiwa na 16.
Manchester City wanashika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 35 huku Chelsea wakiwa nafasi ya nne kwa pointi 34 sawa na Everton waliopo nafasi ya tano.

Soma zaidi Hapa »

MSIMAMO WA LIGI YA EPL BAADA YA MECHI YA JANA NDIO HUU

0 comments


Soma zaidi Hapa »

BREAKING NEWS: KOCHA WA YANGA ATIMULIWA

0 comments
Kocha wa Yanga, Ernst Brandts 
Uongozi wa timu ya Yanga umesitisha mkataba wa kocha wake mkuu Ernie Brandts ikiwa ni siku 2 tu tangu timu hiyo ifungwe na Simba

Soma zaidi Hapa »

MATOKEO YA LIGI EPL, LIVERPOOL WASHIKA USUKANI SASA

0 comments
Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza Luis Suarez (wa pili kulia) baada ya kuwafungia moja ya bao dhidi ya Cardiff leo
Jesus Navas akishangilia bao la tatu aliloifungia Manchester City dhidi ya Fulham leo.
Danny Welbeck akishangilia bao la kwanza kwa Manchester United dhidi ya West Ham leo.
Manchester United 3-1 West Ham, Liverpool 3-1 Cardiff, Fulham 2-4 Manchester City, Crystal Palace 0-3 Newcastle, Stoke 2-1 Aston Villa, Sunderland 0-0 Norwich, West Brom 1-1 Hull. Kwa matokeo ya leo, Liverpool wameongoza Ligi Kuu ya England wakiwa na pointi 36 wakifuatiwa na Manchester City pointi 35 na Arsenal pointi 35!

Soma zaidi Hapa »

FUMANIZI LA LULU NA YOUNG DEE, LULU AZUNGUMZA.....SOMA HAPA

0 comments
MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa.


Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Kwa mujibu wa habari hizo, wawili hao walinaswa wakifanya uchafu huo na askari waliokuwa doria lakini wakawavuta chobingo na baada ya muda, wakawaachia na kutokomea kusikojulikana.
Ili kupata ukweli wa tukio hilo la aibu, paparazi wetu alianza kwa kumvutia waya Young Dee na kumsomea mashtaka yake ambapo alifunguka kuwa ni kweli amezisikia habari hizo lakini akakana kwamba ishu hiyo siyo ya kweli bali imezushwa na kundi la watu wenye lengo la kumharibia jina lake mbele ya jamii.
David Genzi ‘Young Dee’.
“Siyo kweli kabisa, isitoshe nina kama mwezi mzima sijaonana na huyo Lulu, huku ni kutaka kuchafuliana majina tu,” alisema Young D.
Habari zinadai kuwa licha ya Young Dee kukanusha kuwa hajaonana na Lulu kwa muda mrefu, siku ya tukio walikuwa pamoja ingawa hawakutaka kuonekana na mtu yeyote.
Kwa upande wa Lulu alipotafutwa, alifunguka: “Kweli nimesikia ishu kama hiyo ila kinachonishangaza na kunisikitisha ni kwamba siku hiyo ya tukio inayotajwa mimi nilikuwa nyumbani na siku nzima sikutoka kwenda popote, hata hiyo Mbezi iliyotajwa mimi siielewi kabisa, hata lile gari mimi sina gari la aina hiyo wala sijawahi hata kulipanda gari hilo na huyo Young Dee nina muda mrefu sana sijaonana naye,”
“Usiku wa kuamkia leo nilimpigia mtangazaji mmoja ambaye aliirusha habari hiyo redioni, nikataka kujua ameipata wapi habari hiyo? Akanijibu kwamba amepata tetesi tu. Sasa kama ni tetesi kwa nini asichunguze kabla hajanichafulia jina?”
“Pia alisema kuna askari wa doria walitukamata, nikamtaka anipeleke hicho kituo cha polisi tulikopelekwa ili tuthibitishe kama ni kweli maana ishu hii inanichafua mimi na familia yangu, akashindwa kufanya hivyo.
“Yaani naomba ieleweke kuwa sijafumaniwa na siwezi kufumaniwa na mtu kama Young Dee maana  kwanza hata sijawahi kukutana naye hivi karibuni, sipendi kuchafuliwa na haya yote namuachia Mungu atawajibu wote wanaonizushia,” alisema Lulu.

Soma zaidi Hapa »

TAZAMA PICHA ZA UWANJA WA KASARANI KENYA ULIVYOKARABATIWA NA SAFARICOM

0 comments
Safaricom Stadium Kasarani
Safaricom Stadium Kasarani

Safaricom Stadium Kasarani
Safaricom Stadium Kasarani

Safaricom Stadium Kasarani
Safaricom Stadium Kasarani
Safaricom Stadium Kasarani
Safaricom Stadium Kasarani

Soma zaidi Hapa »

EMANUEL ADEBAYOR AONYESHA JEURI YA PESA, TAZAMA MAGARI, NDEGE, NA MAJUMBA ANAYOMILIKI

0 comments
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhClhyxm3f0Sv61rcTGVHUeDq-CFDccpRQtPCbK1YiAlJuwP_APHzys_wqfrqdMOpjHa6GaBO0jxYXTV9O-uyDZjB5VjLwJRrbVjXzXAKE7Bgeq9p4DAdQvCFoidrDrkn181il6-8i4gV0/s1600/.1.png



Emanuel Adebayor ni kati ya wachezaji matajiri duiani..mchezaji huyo raia wa Togo ameonyesha baadhi ya mali anazomiliki ikiwa ni pamoja na ndege , magari na ana nyumba zilizopo Togo, Ghana, Uk pamoja na USA..hebu zitazame hapa chini…

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPQ4f2iTXO-5PXLkBHbR-NzzT4QJ2tY8Dvra0uCFkXpg909LqOcdFnit4rUa7rWfI4Jd8cbdwx4MdoBQ0Plj23bJuOXrkHf_Kr59i3BVj-N7uq73VWKbFhdPe7jo-sR5wK3WQThfgAyAs/s1600/.00.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgU03F7rFoTkOM1TcmiUSH8HQWq6Gfj1WY5hvz4d51CCgfruOJ8GW6DOsG0X7V5nVfqZwfF_85EvwCk6d3j1UgSi-skqv5LLSfWhQNVNq_ySUiUdGMtEzThAImBxrzibHSxxDlpmZ9ntsQ/s1600/.0.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyQTyeBJUyXEuaztvWY5psGgSf8tQDF1ZO4sxi2ye9-8OxupcrVMkPHSSfYY-r3fQ3TW6zKkmNzKpWf-MBiS7Kg1yn_0pszSSo49bycZXcEHgm7Vv1mI5u8U-VFeOGNQZlI_HoUcOnlt8/s1600/,5.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-ZfgWYFEYLBw61WqxX0tkDZCWF7D9eBbPVXQy-ylVTHNzcsLeMECld1zLTqv25ffkBg4F2QOcCwA-2800g8QzwANSFkPEzBL82ryLP86SW_tEP5y591DDKUk8MC_tWGcMOPjdOlnl4MQ/s1600/.14.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXpGFA1SB7DWeDGLscCQRrWEzPrcFGmnIIF7LoZfV6mulv3FufUqMXywLD61QAZ80w-SZRK7wLeLNxAVqo5y82daajJtRf_TxTknKG_U3jgS73fWvM96VOOrI6yVfetoUOT2Oi79zAIBM/s1600/.13.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYg3CuC8bpkfm_nAq-XHTBkB4XPWPO6zX3qXplNJLbcTDMbBFqPeyWFLHhpewnkqoNQWd-bD9ckJm-6KU2RR5z98Ipf7rZAc49hvh97mzhnCO7hqQARLTT8qE0WLeRdCdhPhYG9XDEmnE/s1600/.12.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2X8CNoAwc_ynsUeLc3vBxx8U0A1xKYTDZV5dttFEqxIHQ2UEwh89nnCEEKMLs4TKq78Ut50z7irytZhyN4cZcPiZ7Mhyd6xiL-tEQXFaAS4mwpPpBKIS5BZFo5O_pmBKwq7YsYpwhIF8/s1600/.4.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5E3wFnOYKMfqzUICPzYTrgKJdT8itSD6he_FP65DfRA3zZTnRs8Q4_Eqao-G4hvUdx3J_LG6dib9E1X9Zo7JUKHwGWPEa4XnPis0fTuOaoAgJkOHs2zjJBGWF9Orczx1JGpuDPVoHhUY/s1600/.8.png 
 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGtG7LHHXXwoTo5x9aAJyS6_Tl1qZG_ucX4X-INffFC01sdsQhaS3giIeIleDN3jVwoJj6FEirna9AxjQgAz_7uoM6dU6Jq23YJkjW9ReUM-7A4uUvtiPMi6CxovNKREDFvpPr2mPFQxM/s1600/.11.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_xKNCwBfOQq6Fv7fVBSzrc_NZZ2fPWRXG_PI1GlgWwcicBpMiCzc2QCAXrWsnyf-MPrDeRNPp-A5U5OoW7Rs0rO_7WCSFBgLqIe46uR7Iwm0lNhUcwnM_19_v8sLgYdxvOOrtBazFRrA/s1600/.7.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiwb1GQGx1_b0ZJXQ1WqbFyycxXj7mIYwBsUdNAxvDo55U5bMiFvct0P0Wmx7AhUr-QCys-lXRhsP1ka3p7XFsGKsWXMI2M8zuwcnWoscfKhZ-cTe48silkSL0i9ZNuMczSmokZEmSMzQ/s1600/.001.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkMc-1a-YYuTGO7qaS0gju1u12Dghd67bvaP_6lCwBYA9DStrLRoUN_VLkRqsDAJBybENI3heMR0C6LWyWLIBV787sb4kEngKmIfTccaZaEVX88hnFPpGJU4PVoXclyP_ZJtmFYZqX8mk/s1600/.000.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkMNKfpeoX7030620KbUbA3sCkC56NFSgXG0v7U-CXdNOnx00Yd_xsYKoX6CzS4NCsBj0kLBnu7NgrAsc3xsDC-XnZaQIUhMQtUxXJeHPMQpfSZqi31omj-uEv-HhycY7Qq9dHzzs5wCQ/s1600/.2.png 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipVcrjyPN1RBuL-kzhJE-e4TiX29kTVv6prU-jT-yvN0O72vdnm-5hvxRDZu0HnlmF6XkjAV80mpbpqDdfY1UsN8fCiaT5QXY9K8t5nzko3CuPjweK7VIuyEJ9kMiItZwRzryjFU9ADDI/s1600/.6.png

Soma zaidi Hapa »

ULISHAZIONA PICHA ZA NDEGE WANAZOMILIKI TP MAZEMBE?? KAMA HUJAZIONA BOFYA HAPA

0 comments





Hakika soka ni biashara, hebu tazma wenzetu walivyowekeza katika soka. TP Mazembe ni klabu kubwa sana hapa Africa, kwa jinsi walivyowekeza ni halali waendelee kutawala soka la Africa. Hili ni somo kwa baadhi ya klabu za hapa Bongo. Igeni mfano huu, nawapongeza sana Azam kwa kuanza kuwekeza katika soka kwani naamini hata hawa TP Mazembe walianza vilevile, Uwanja, Bus na Tv station sio kitu hapa, mkifika hatua ya kununua Ndege yenu pia itakuwa ni hatua nzuri zaidi. Hizi ndizo picha za midege wanayomiliki TP MAZEMBE. Gonga lile katika page yetu kutoa sapoti.......

Soma zaidi Hapa »
Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs