Showing posts with label movie. Show all posts

HAHAHA!! BOFYA HAPA, UTACHEKA MPAKA UKAE CHINI

0 comments




Soma zaidi Hapa »

KWA WALIOFATILIA MARA AND CLARA NA MY ETERNAL...HII NDIO NYUMBA ANAYOMILIKI CLARA NDIO HII

1 comments

At 17, Julia Montes is the proud owner of a new two-story home in Antipolo City. She never expected to be able to buy her own house at such a young age. And she’s excited to sleep in a bedroom of her own!
She and her family will move to the new house in April.
“I used to share a room with my four siblings. I would get so stressed out whenever the room was in disarray,” Julia tells Living Stars. “My new room has lots of storage space. I don’t like clutter. I hate not finding stuff when I need them.”
Julia first appeared in the youth-oriented programs “Goin’ Bulilit” and “Growing Up,” before she was cast to play the lead in the top-rated 2010 drama series “Mara Clara.” She currently portrays the heroine Katerina Alcantara-Montenegro on ABS-CBN’s latest hit show “Walang Hanggan.”
Julia says she and Katerina are alike in that they both value family: “We’re both scared of losing our loved ones and of being alone. But unlike Katerina, I don’t give up easily. I fight for what I want. I work hard to fulfill my dreams.”
forward look
Julia was born Mara Hautea Schnittka to a Filipino mother, Gemma Hautea, and a German father, Martin Schnittka, in Pandacan, Manila. Julia’s dad left them when she was a baby, and only her deaf mother raised her with the help of her grandmother Flory. In 2011, Julia finished high school with good grades at the Blessed Hope Christian School. She is now the family breadwinner.
Accessories
“Less is more,” Julia stresses. “Collect classic pieces—simple stud earrings, bangles and watches, and dress your age. Belts are often neglected, but a belt can transform your V-neck
“LESS is more,” says the practical teen. Julia wears gladiator sandals by Michael Antonio and floral overalls from HerBench.
shirt from simple to chic.”
Julia says her favorite pair of Ray-Ban Aviator shades is a gift from Lino Cayetano, director of “Growing Up.”
Book
She received the book “What Matters Most for Teens” from Linggit Tan, ABS-CBN head for TV entertainment production. “Tita Linggit always reminds me to keep my feet planted firmly on the ground,” she said.
Gadgets
“I’m a MyPhone endorser,” Julia says. “I use its T18 Duo. It’s small and perfect for students. I also have a MyPhone with a built-in TV. Another phone I like is adorned with Swarovski crystals. It’s perfect for formal events.”
“You don’t need expensive gadgets,” Julia points out. “Go for quality and function. Make sure to read reviews about a particular item before getting it. There are pieces that may look attractive on the outside, but looks can deceive.”
Scents
Julia is turned off by colognes with strong scents. “I like Fire by Boardwalk. I also like Bulgari because it’s a perfume that I can use every day. I prefer scents that are powdery, sometimes floral,” she says.
Shoes
“I love shoes! I probably have over 20 pairs right now,” she beams. “I use all of them. I had shelves built just for my shoes in my walk-in closet at home.”
SHE SAYS she can’t wait to display her toy collection in her new home.
“This pair of fuchsia high-heeled pumps from Michael Antonio is fabulous,” she says. “People were worried that it was too high but I’m used to wearing five-and-six-inch heels.”
Julia also likes Skechers sneakers. “They’re light and comfortable to use and I can easily match them with any workout clothes.”
she also own a solon
Makeup
“This lip palette from Krayola has different colors that you can mix and match. Just use a good lip brush,” she says. “I prefer flesh or old rose for my lips, since I believe that less is more. I advise teenagers to stick to lip balm. It’s not good to wear lip color every day at a young age. I only have a lot because of work.”
She is obsessed with makeup more than with shoes. “I used to dream of becoming a makeup artist,” Julia says. “I’ve been experimenting on makeup since I was 9! I do my own face. I read magazines or surf the Net for the latest styles and techniques.”
“You don’t need expensive makeup, especially if you’re a teenager and can’t afford it,” says the practical buyer. “Plus, some cosmetics are harsh on young skin.”
Clothes
“I’m an endorser of HerBench. Their clothes are versatile,” she explains. “Take this plain cotton shirt for example. I can use it to the gym, but I can also wear it with a skirt and transform it into something really girly. This gray printed shirt is good for going out with friends, but with the right accessories you can turn it into a costume for a production number on TV.”
“This white lacy blouse has a romantic look. It’s also easy to match with other outfits because it has the most basic cut and color.
“This off-shoulder blouse from Forever 21 is very sexy. It shows just enough skin. I can use this with a skirt or a pair of shorts,” the actress says.
A PAIR of stylish earrings, perfect for either casual or formal events
Julia is into maxi-dresses lately because they’re comfortable yet classy. “This long blue-green skirt can go with flats or high-heeled shoes,” she points out.
Bag
“This brown leather bag is my favorite. Its color is easy to match and it’s big enough to carry all my stuff. I’m a girl scout—ready with everything, including alcohol and medicines,” Julia says.
Toys
Her stuffed pink toy pig was a Christmas present from her supporters, Julia’s Angels. “Most of the stuffed toys I have are gifts,” she said.

Story by Prince Emineys
flw me on twitter: @emineysprince

Soma zaidi Hapa »

ULISHAIONA ILE VIDEO YA BABY MADAHA ILIYOZUA 'UTATA'??? BOFYA HAPA UITAZAME

0 comments
Video mpya ya baby Madaha “Squeeze me tight” yazua utata, tazama hapa
Video ya muziki ya mwanadada Muigizazji na mwanamuziki Baby Madaha “Squeeze me tight” imeanza kuzua utata kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutazamwa na watu wengi sana kwa muda mfupi tangu ilipowekwa hewani kwenye mtandao wa youtube.
Video hiyo ambayo imerekodiwa huko nchini Kenya chini ya Studio za Candy n’ Candy Records ina mahadhi ya kijamaika flani hivi  na pia ukiichunguza kwa umakini zaidi ina vionjo flani vya “kizombie” na pia ipo “too sexy” kitu kilichotafsiriwa kama mambo yale  ile “dini ya wavaa suti” na sababu ya video hii kutazamwa sana. Tuliamua kumtafuta baby Madaha mwenyewe ili ajibu tuhuma hizi lakini kwa bahati mbaya simu yake ya mkononi likuwa inatumika muda wote tuliompigia. Tutaendelea kumtafuta na kuwajulisha atakayosema.
BONYEZA HAPA KUITAZAMA

Soma zaidi Hapa »

CANDY CALFONIA, MALKIA MPYA WA BONGO FLEVA ANAYEKUJA JUU SANA...SOMA ZAIDI HAPA

0 comments
Alianza kuonekana kwenye TIKISA DANCE, SERENGETI FIESTA 2012 SUPA NYOTA...na hapo ndio alidhihirisha kuwa anaweza hili game la mziki wa Bongo fleva. Anaitwa Candy....and this is her video, MZIKI MTAMU ft JORDAN DA PRINCE. Hakika ni video nzuri saaana inayovutia kutazama na kusikiliza....we need to give her much support on her Music because she's real talented. Hivi sasa huyu mwanadada ana blog yake ambayo inahusu mambo yake hasa ya kimuziki na maisha...hii ni step kubwa kwani inamsaidia sana pia kujitangaza na kuwapa mashabiki wake vitu muhimu ambavyo wanapenda sana kuviona kutoka kwake. HONGERA SANA. Unaweza kuitazama video yake hapa na vilevile unaweza kuingia katika Blog yake ili kujua mengi zaidi kuhusu muziki wake na maisha yake kiujumla. 

 CLICK HAPA KUINGIA KWENYE BLOG YA MWANADADA CANDY

 Kati ya nyimbo nzuri alizowahi kutoa ni mziki mtamu alioshirikiana na Jordan Da Prince ambao video yake ipo hapa, pia wimbo wake mwingine ambao ni mzuri kupindukia unaitwa Nipende Milele, aliorekodi katika studio za Most Records. Unaweza kuusikiliza na kuudownload hapa pia . A sweet song I never heard before, sweet voice..............SO LOVELY







Soma zaidi Hapa »

HII NDIO LIST YA MATAJIRI 40 BORA DUNIANI, BILL GATES AKAMATA NAMBA 2

0 comments
The Richest People in the World Today
The Richest People in the World Full List:
  • 1. Carlos Slim Helú $ 70.6 billion (Telecom, mining, Philip Morris, banking)
  • 2. Bill Gates $ 60.4 billion (Microsoft)
  • 3. Amancio Ortega $ 51.7 billion (Zara)
  • 4. Warren Buffett $ 46.2 billion (Berkshire Hathaway)
  • 5. Ingvar Kamprad $ 39.9 billion (Ikea)
  • 6. Charles Koch $ 39.4 billion (Oil)
  • 7. David Koch $ 39.4 billion (Oil)
  • 8. Larry Ellison $ 35.5 billion (Oracle)
  • 9. Christy Walton $ 28.0 billion (Walmart)
  • 10. Jim Walton $ 26.7 billion (Walmart)
  • 11. Rob Walton $ 26.2 billion (Walmart)
  • 12. Li Ka-Shing $ 26.0 billion (Energy, mobile, ports, hotels)
  • 13. Alice Walton $ 25.7 billion (Walmart)
  • 14. Alwaleed bin Talal Al Saud $ 24.8 billion (Diversified investments)
  • 15. Bernard Arnault $ 24.5 billion (LVMH – Louis Vuitton, Moet, Hennessy)
  • 16. Liliane Bettencourt $ 24.4 billion (L’Oreal)
  • 17. Lee Shau Kee $ 22.3 billion (Hong Kong real estate)
  • 18. David Thomson $ 22.1 billion (Thomson Reuters news agency)
  • 19. Mukesh Ambani $ 22.1 billion (Oil, natural gas)
  • 20. Stefan Persson $ 22.1 billion (H&M clothing stores)
  • 21. Karl Albrecht $ 21.6 billion (Aldi and Trader Joes super markets)
  • 22. George Soros $ 21.5 billion (Investments)
  • 23. Jeff Bezos $ 21.3 billion (Amazon.com)
  • 24. Michele Ferrero $ 21.0 billion (Chocolate)
  • 25. Sheldon Adelson $ 19.9 billion (Las Vegas Sands casino)
  • 26. Rinat Akhmetov $ 19.9 billion (Ukrainian steel and mining)
  • 27. Larry Page $ 19.8 billion (Google)
  • 28. Sergey Brin $ 19.7 billion (Google)
  • 29. John Mars $ 19.3 billion (Mars candy company)
  • 30. Forrest Mars Jr. $ 19.3 billion (Mars candy company)
  • 31. Jacqueline Mars $ 19.3 billion (Mars candy company)
  • 32. Zong Qinghou $ 19.2 billion (Chinese consumer goods)
  • 33. Dieter Schwarz $ 19.1 billion (Grocery stores in Europe)
  • 34. Eike Batista $ 19.0 billion (Oil, gold, real estate in Brazil)
  • 35. Iris Fontbona $ 18.7 billion (Chilean copper and banks)
  • 36. Alberto Bailleres $ 18.7 billion (Mining, insurance, oil)
  • 37. Gina Rinehart $ 18.5 billion (Mining)
  • 38. Jorge Lemann $ 17.8 billion (Anheuser-Busch InBev)
  • 39. Cheng Yu Tung $ 17.7 billion (Jewelry, Hong Kong real estate)
  • 40. Alisher Usmanov $ 17.0 billion (Mining, Facebook, Twitter, Arsenal football club)

Soma zaidi Hapa »

KAMA ULIMISS KIPINDI CHA MKASI NA MAREHEMU SAJUKI, KITAZAME HAPA

0 comments





Soma zaidi Hapa »

ITAZAME HAPA VIDEO YA DIAMOND: NATAKA KULEWA

0 comments
Finally, hii ndio video kamili ya wimbo wa Diamond Platnumz 'Nataka Kulewa', ambayo imetayarishwa na kusimamiwa na kampuni ya I-View Studios chini ya Raqey Mohamed. Itazame kisha toa comments zako kwa jinsi utakavyoipokea. 


Soma zaidi Hapa »

TAZAMA VIDEO YA VIWANJA AMBAVYO VITATUMIKA KWENYE KOMBE LA DUNIA HUKO QATAR

0 comments








Soma zaidi Hapa »

BEN POL AINGIA KATIKA TASNIA YA BONGO MOVIE........SOMA ZAIDI HAPA

0 comments


 
Msanii wa Bongo Fleva wa kizazi kipya almaarufu kwa jina la Ben Pol anayetamba na ngoma kali hapa Tzee kama Nikikupata,Maumivu,Pete.
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kutoka na ngoma yake ya Pete sasa ameamua kuingia katika tasnia ya Bongo movie kwani alisema kwamba japokuwa zamani alishawahi kuwa Assistant Director katika movie ya Wrong number lakini leo hii anafunguka na kusema kwamba kwasasa ameshafanya movie mpya na karabani bila kusahau alimalizia kwa kusema kwamba mashabiki wake wakae tayari kwa ujio wake katika tasnia ya Bong movies.

Soma zaidi Hapa »

MOVIE: STAR ALEX ALOYCE MILLINGA IN ACTION-SIKU ZA MAJARIBU

0 comments


Soma zaidi Hapa »

LUCY KOMBA APATA SHAVU LA KUFANYA FILAMU NCHINI DENMARK

0 comments

 
STAA wa sinema za Bongo, Lucy Francis Komba amekula shavu la kufanya filamu nchini Denmark kwa miezi mitatu hadi mwakani.


Akichonga na Mtandao wa MPEKUZI hii juzikati, jijini Dar akiwa njiani kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar ambako aliondoka na Ndege ya Scandinavia Airways, Lucy alisema:


“Ni kweli nasafiri, nakwenda Denmark kucheza filamu. Nitakuwa kule kuanzia Oktoba hii, Novemba, Desemba na Januari.”


Miezi ya hivi karibuni, Lucy amekuwa akienda kufanya ‘shooting’ ya filamu nje ya nchi. Katikati ya mwaka huu, alikwenda Ghana, Nigeria na baadaye Burundi.

Soma zaidi Hapa »

HII NDIO KUFURU YA WEMA SEPETU.....INGIA HAPA UJIONEE

0 comments
BONGONEWZ BLOG

Picha: Shakoor Jongo wa GPL
HII ni safu mpya ambayo inamhusu staa wa fani yoyote, mwanamke au mwanaume ambaye atakuwa amenaswa akinunua bidhaa za matumizi yake. Wiki hii tunaanza kuangalia ‘shopping’ ya staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ambayo kiukweli ilikuwa kufuru.
Mrembo huyo alinaswa hivi karibuni akifanya manunuzi ya nguo tu, zenye thamani ya Sh. milioni 4.3 katika duka la Amina Designer lililopo ndani ya Jengo la Quality Centre jijini Dar.
“Ni utamaduni wa kawaida kwangu kufanya shopping mara kwa mara. Sioni uchungu wa kutoa fedha, labda ni kwa sababu natumia kadi kulipia, ningekuwa natoa kwenye pochi na kuhesabu kumpa muuzaji, nisingeweza kufanya hivyo, fedha nyingi kama ile ukiishika mkononi na kulipa kununua nguo roho inauma,” alisema Wema.


Soma zaidi Hapa »

JACK WOLPER: "HUWEZI KUNIPATA BILA KUWA NA MILIONI MOJA"....SOMA ZAIDI HAPA

0 comments
BONGONEWZ BLOG

WAKATI filamu nyingi za bongo bajeti yake si ile ya kushtua mtu kama kazi za wasanii wa mbele, na kwa kulitazama hilo msanii Jackline Wolper ameamua kuweka wazi fungu lake ili kwa wale wanaotaka kumshirikisha kwenye filamu zao basi wajue kuwa anaweza kucheza kuanzia milioni 1 na kuendelea chini ya hapo hapotezi muda.

Wasanii wa Tanzania wanatatizo kubwa la kutotumia pesa ya kutosha katika utengenezaji wa filamu zao, na wengi bajeti zao ni chini ya mil 8, hivyo kwa kiasi anachokitaka Wolper sijui kama ni kweli anaweza kulipwa ingawa wengi tumewazoea wakisema hivyo lakini mwisho wa siku unasikia kacheza filamu kwa laki 2.

Msanii huyo aliweka wazi ishu hiyo wakati akizungumza kwenye mahojiano na televisheni ya Clouds TV kupitia kipindi cha Take One, ambapo aliulizwa kiasi anachotaka kulipwa kucheza filamu, ndipo alipotaja fungu hilo.

“Kwa kweli suala la kulipwa mara nyingi huwa inatengemea na filamu yenyewe lakini kwa upande wangu naweza kusema kwamba kuanzia milioni 1 hapo nafanya kazi,” alisema.

Soma zaidi Hapa »

VURUGU ZA ZENJI: JACK WA CHUZI ANUSURIKA KUPIGWA MAWE....SOMA ZAIDI HAPA

0 comments
BONGONEWZ BLOG

WAKATI hali ikiwa bado tete visiwani Zanzibar kutokana na vurungu zinazoendelea, msanii wa filamu kutoka Tanzania Bara Jackline Pantzel ‘Jack wa Chuzi’, amenusurika kuumia katika vurugu hizo wakati akijaribu kukimbia na hata hivyo ameamua kuondoka zenji ili kuepusha balaa ambalo lilitaka kumtokea huko.

Msanii huyo alikuwa visiwani huko kikazi za sanaa, lakini ameshindwa kuendelea na kazi hyo na kuamua kurudi Bara, ili kupisha vurunga hizo na hali itakapokuwa tulivu watarudi tena ili kumaliza kazi waliyokuwa wanafanya.


Akiongea na mtandao wa MPEKUZI
,Nisha  alisema kuwa vurugu hizo zilimfanya ashindwe hata kula kwani mawe na chupa vilirushwa mfululizo karibu na eneo walipokuwa wamekaa kitu ambacho kimemfanya kuamua kurudi Dar, amedai hata barabara nazo zimefungwa na zimejaa watu eneo lote la mji.

“Yani we acha huku Zanzibar ni kuna vurungu hata hakutamaniki nilikuwa huku kwa ajili ya kazi lakini kutokana hali hii bora nirudi kwanza Dar, nilitaka kurudi jana lakini barabara hazipitiki hivyo leo nimepata usafari wa ndege,”
alisema.

Soma zaidi Hapa »

WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAAMUA KUOMBA RADHI KUTOKA NA PICHA CHAFU WALIZOPIGA WAKATI WA FIESTA

0 comments
BONGONEWZ BLOG
Waigizaji wa filamu nchini Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamewaomba radhi watanzania kwa picha zao mbaya walizopigwa kwenye show za Fiesta.

Wasanii hao wamezungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuomba radhi kwa kupigwa picha hizo za nusu utupu walizopigwa kwenye show hizo.


Wakiongena waandishi wa habari Aunty Ezekiel amesema ameumizwa na kitendo hicho kwakuwa wao kama wanawake katika jamii, wana wazazi, ndugu jamaa, marafiki pamoja na mashabiki wao wanaowapenda na kuwaheshimu.
Hivi karibu Aunty Ezekiel alijitetea na kunukuliwa kwenye chanzo kimoja akisema, “Ni kweli nilikuwa ninacheza katika Jukwaa (Stage) na nilikuwa nimekunywa, lakini sikuwa nimedhamiria kukaa uchi bali ni mbinu za wapiga picha ambao walitumia njia ya kuamua kunidhalilisha kwa kunipiga picha wakiwa chini ya Jukwaa (Stage) ili wapate kuuza magazeti yao, hata ukiangalia picha zenyewe zimepigwa kiujanja sana.”

Waigizaji hao waliongozana na katibu Mkuu wa shirikisho la filamu Tanzania, TAFF, Wilson Makubi.


Soma zaidi Hapa »

"NATAMANI SANA KUWA FREEMASON LAKINI SINA MTU WA KUNIUNGANISHA"....AUNT EZEKIEL

0 comments
Katika Mahojiano yaliyofanywa na Mtandao wa MPEKUZI, wasanii wa Bongo movies Aunt Ezekiel pamoja na Shilole walifunguka kuhusu kuingia kwenye imani ya Freemason.Wa kwanza kuulizwa alikuwa ni Shilole.Yeye alikana kabisa kuwa hana mpango wa kuwa freemason.......

Kwa upande wa Aunt Ezekiel hali ilkuwa tofauti kidogo.Yeye alidai kuwa kwa muda mrefu sasa amekuwa akifikiria jinsi ya kujiunga na freemason lakini bahati mbaya hajapata mtu wa kumuingiza kwenye channel hiyo ya mafreemason......


Aunt anadai kuwa endapo atafanikiwa kuwa freemason na kuwa na pesa za kutosha, basi atajikita zaidi katika utoaji wa misaada mbali mbali hasa kwa watu wenye uhitaji huo......


Hii ndo video ya Aunt Ezekiel akifunguka, Iangalie hapa


Soma zaidi Hapa »

IRENE UWOYA KUREKODI MOVIE NA HALLE BERRY

0 comments
BongoNewz
Irene Uwoya katika pozi...
WAKATI msanii Irene Uwoya akiendelea kufanya mchakato wa kutaka kushiriki kwenye filamu za kimataifa, tayari inadaiwa kuwa anatarajia kula shavu kubwa ambalo hajawahi kuliota la kushiriki filamu moja na msanii maarufu Halle Berry kutoka marekani. Halle Berry ni moja ya wasanii mahiri kabisa ambao wana uwezo mkubwa kwani ameweza kuonesha uwezo wake kwenye filamu kama ‘Die Another Day’, Catwoman, New Year’s Eve, Monster’s Ball na nyingine nyingi.
Movie actress Halle Bery
Ishu ya Uwoya kushiriki ndani ya filamu moja na mwanadada huyo inadaiwa kuwa katika mazungumzo anayofanya nchini Uingereza mmoja ya wadau wakubwa ya tasnia hiyo kutoka Marekani ndiye aliyempa ishu hiyo baada ya kuona baadhi ya filamu alizocheza pamoja kujiamini kwake.Uwoya alidai kuwa bado hajaamini kwani hajapewa ishu kamili na ameambiwa kuwa atajulishwa kwa njia ya email endapo kila kitu kitakuwa sawa kwa sababu ya ratiba ya Berry.

“Naweza kucheza filamu moja na Halle Berry, ingawa sijajua kama ishu hii inaweza kuwa kweli kwa sababu kama unavyojua kila kitu huwa kinaenda kwa ratiba siyo kama sisi bongo filamu tunajitolea bila hata kufuata ratiba

Soma zaidi Hapa »
Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs