HII NDIO KUFURU YA WEMA SEPETU.....INGIA HAPA UJIONEE
BONGONEWZ BLOG
Picha: Shakoor Jongo wa GPL
HII ni safu mpya ambayo inamhusu staa wa fani yoyote, mwanamke au mwanaume ambaye atakuwa amenaswa akinunua bidhaa za matumizi yake. Wiki hii tunaanza kuangalia ‘shopping’ ya staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ambayo kiukweli ilikuwa kufuru.
Mrembo
huyo alinaswa hivi karibuni akifanya manunuzi ya nguo tu, zenye thamani
ya Sh. milioni 4.3 katika duka la Amina Designer lililopo ndani ya
Jengo la Quality Centre jijini Dar.
“Ni utamaduni wa kawaida kwangu kufanya shopping mara kwa mara. Sioni uchungu wa kutoa fedha, labda ni kwa sababu natumia kadi kulipia, ningekuwa natoa kwenye pochi na kuhesabu kumpa muuzaji, nisingeweza kufanya hivyo, fedha nyingi kama ile ukiishika mkononi na kulipa kununua nguo roho inauma,” alisema Wema.

HII ni safu mpya ambayo inamhusu staa wa fani yoyote, mwanamke au mwanaume ambaye atakuwa amenaswa akinunua bidhaa za matumizi yake. Wiki hii tunaanza kuangalia ‘shopping’ ya staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ambayo kiukweli ilikuwa kufuru.

“Ni utamaduni wa kawaida kwangu kufanya shopping mara kwa mara. Sioni uchungu wa kutoa fedha, labda ni kwa sababu natumia kadi kulipia, ningekuwa natoa kwenye pochi na kuhesabu kumpa muuzaji, nisingeweza kufanya hivyo, fedha nyingi kama ile ukiishika mkononi na kulipa kununua nguo roho inauma,” alisema Wema.

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII