HIZI NDIZO PICHA ZA MAKAO MAKUU YA JUMUIYA YA AFRICA MASHARIKI YALIYOZINDULIWA JIJINI ARUSHA

Mfano wa  jengo la Makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa
 Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiangalia mfano wa jengo jipya la makao 
makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na maelezo yake baada ya kulifungua rasmi 
 Novemba 28, 2012 jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi 
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifunua pazia  kufungua 
rasmi jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya  Novemba 28, 2012 jijini 
Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi 
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakikata utepe kufungua 
rasmi jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya  Novemba 28, 2012 jijini 
Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi 
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki  wakitembelea sehemu mbali 
mbali za jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya  baada ya kulifungua 
rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi 
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki  wakitembelea sehemu mbali 
mbali za jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya  baada ya kulifungua 
rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha. Hapa ni katika chumba cha mahakama
 ya jumuiya hiyo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie 
wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki  wakishuhudia 
Mwenyekiti wa Jumuiya Rais Mwai Kibaki wa Kenya akizindua rasmi mfumo wa
 kisasa wa kuunganisha shughuli za ushuru wa forodha kwa njia ya mtandao
 katika  jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya  baada ya kulifungua 
rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi 
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki  wakiwa katika chemba ya 
mikutano ya Bunge la Jumuiya ya Afrika mashariki katika jengo jipya la 
makao makuu ya Jumuiya  baada ya kulifungua rasmi Novemba 28, 2012 
jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa nchi 
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja 
na wadau pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki.Picha na IKULU
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII