MUENDELEZO WA PICHA NA MATUKIO KATIKA MSIBA WA SHARO MILLIONEA....INGIA HAPA
Gari
 aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa 
akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo 
Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga 
Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na 
mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Baadhi
 ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za 
usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki 
Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam 
kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. Sharo 
Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule
 Muheza Tanga.
Gari
 aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa 
akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo 
Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga 
Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na 
mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Mbunge
 wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha 
Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia 
mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa katika ajali ya gari wakati 
akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani Tanga, ajali hiyo 
imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni jana usiku.
Wakazi
 wa wilaya ya Muheza na maeneo mengine wakiwa wamefurika nje ya Chumba 
cha Maiti cha Hospitali Teule Muheza, kusubiri kushuhudia mwili wa Sharo
 Millionea, aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa jana.

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII