OBAMA AMGARAGAZA MPINZANI WAKE: ASHINDA TENA KUWA RAIS WA MAREKANI.......

Rais Barack Obama wa Marekani ameibuka kidedea kwa mara nyingine baada ya kumshinda mpinzani wake mkubwa kutoka chama cha Republican Mitt Romney katika uchaguzi uliokuwa mgumu sana.


Kwa upande wa Electoral votes Obama amepata kura 303 dhidi ya mpinzani wake Mitt Romney aliyepata kura 206, ila kwa upande wa Popular votes Obama ameweza kuibuka na kura 50,588,291 sawa na asilimia 49% huku mpinzani wake kutoka Republican Mitt Romney akipata kura 50,471,264 sawa pia na aslimia 49% ila wazidiana kwa points.

HONGERA SANA RAIS OBAMA
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs