SIAMINI KAMA DALLAS AMEFULIA KIASI HIKI.......MMH!! SOMA HAPA ZAIDI
MFANYABIASHARA ‘mjanjamjanja’, Abdallah Mtoro ‘Dallas’, amefilisika na amechoka vibaya kiasi cha kuanza kuombaomba bia. Mwanasiasa
aliyeshinda ujumbe wa Nec (CCM) hivi karibuni, William Malecela ‘Le
Mutuz’, aliandika wiki iliyopita kwenye ukurasa wake, mtandao wa kijamii
Facebook: “Ok I have this friend, Super Dallas anatokea sana kwenye
magazeti. I feel sorry for him aliwahi kuwa na utajiri wa ajabu alikuwa
akihonga Mabebs wa mjini mpaka USD 10000 (karibu shilingi milioni 16).
Abdallah Mtoro ‘Dallas’.
“Then akawa mchumba wa Wolper! Poor guy now amechacha watu wote
hawamtaki wanamkimbia waziwazi na kumcheka, I feel so bad for him siwezi
kumkimbia I know him, so I accommodate him like I know nothing people
get upset with me that kwa nini ninam support na kumpa vinywaji?”
William ambaye ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe nchini, John Samuel Malecela, alichanganya Kiswahili na Kiingereza lakini alichomaanisha ni kuwa Dallas amefilisika kiasi ambacho yeye ndiye amekuwa akimlinda kwa kumnunulia vinywaji.
Jitihada za kumpata Dallas azungumzie madai hayo ya William hazikufanikiwa lakini baada ya mwanasiasa huyo kuandika hivyo, watu wengi walinakili ujumbe huo na kuusambaza kwenye mitandao mbalimbali.

Jacqueline Wolper.
Bloga mmoja wa kike, aliweka kwenye blogu yake huku akisindikiza kwa
kichwa cha habari: “Maskini Dallas wa Wolper kutoka kwenye utajiri wa
madola mpaka zero ground.” Akimaanisha kwamba mfanyabiashara huyo
alikuwa tajiri akimiliki noti za dola mpaka kufilisika hadi sifuri. Wolper alipoulizwa kuhusu hali ya Dallas kama anaweza kumsaidia, alijibu: “Nisingependa kumzungumzia huyo mtu.
Source: GPL
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII