TAIFA STARS WAINYUKA HARAMBEE STARS BAO 1-0 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI.



Wachezaji wa timu ya Taifa Stars wakishangilia bao la kwanza wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya Harambe Stars ya Kenya iliyochezwa uwanja wa Kirumba jijini Mwanza jana. Kilimanjaro premium Lager ambao ndio wadhamini wakuu wa Taifa Stars wamefurahishwa na matokeo hayo.(Picha na Michael Machellah).

Mshambuliaji wa timu ya Tiafa Stars, Mbwana Samata akijaribu kumtoka Beki wa Harambee Stars wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stares ya Mwanza iliyochezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana.(Picha na Michael Machellah).

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs