KATIKA PICHA: SHEREHE YA MIAKA 7 YA THT DAR LIVE
--
WASANII
wa nyumba ya vipaji, Tanzania House of Tallent ‘THT’ usiku wa kuamkia
leo waliangusha bonge la pati ndani ya Ukumbi wa Dar live uliopo
Mabagala jijini Dar kusherehekea miaka 7 ya kuanzishwa kundi hilo la
kukuza vipaji. Katika pati hiyo wasanii mbalimbali wa muziki walitoa
burudani hasa wasanii wenyewe wa THT. Pichani juu ni baadhi ya matukio
yaliyojili ukumbini hapo.
|
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII