B - BAND YAZINDUA ‘SINGO’ MPYA





B- Band chini ya Prezidaa wake
Banana Zorro juzi ilizindua kibao chake kipya kiitwacho ‘Sio kama
wale’. Uzinduzi huo uliofanyika Club 24, ulisindikizwa na burudani ya
muziki kutoka kwa Dully Sykes, Chid Beenz, na Top in Dar (TID).
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII