TAZAMA PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO YA OMMY DIMPOZ NA VANESSA 'ME AND YOU'
Usiku wa kuamkia leo katika klabu ya usiku ya New Maisha Club, Ommy
Dimpoz pamoja na mwanadada Vanessa walikuwa na special video premier
night kwa wimbo wake “me & you” ambao wameshirikiana.
Katika uzinduzi wa video hiyo mastaa kadhaa walijitokeza ku shoo love
pamoja na kutumbuiza wakiwemo Diamond, Dully, Mwana FA, Chege, kundi la
Shostiz, Madee, Godzilla na wengine.
Pia on the same note mwanadada DeeAndy wa Clouds FM naye alijumuika na
Ommy Dimpoz katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo baadhi ya
wanafamilia wa radio hiyo wakiwemo B12 na Dj Zero walimpa sapoti katika
usiku wake huo special.Kama kawaida bongo5.com ilikuwepo ndani ya nyumba
na hizi ni baadhi ya picha za usiku huo.







Nisher na mshikaji


Ommy Dimpoz na Vanessa wakiperform Me and You



Diamond


Ommy Dimpoz akiperform

MwanaFA




Diamond na warembo




Lamar, Diamond na warembo






Diamond na Dully

Clouds TV wakimhoji Ommy




DJ Zero, DeeAndy, Vanessa Mdee na B12


Godzilla na B12

MwanaFA na swahiba wake AY

Deeandy na Vanessa

Chege
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII