LADY JAY DEE AFUNGUKA : "SIJAONA VIDEO QUEN HAPA TANZANIA"

Let’s accept this fact kwamba Muziki wa Bongoflava umetengeza ajira kwa 
vijana wengi sana Tanzania. Siku hizi ukitokezea kwenye Video ya msanii 
unastahili kulipwa kiasi cha pesa kwa mchango wako. 
Video Queen wanalipwa pesa nyingi ulaya kulinganisha na Tanzania 
labda inawezekana  ni kutokana na kutokuwepo kwa ukomavu wa tasnia 
yenyewe.
Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ normally known as Commando Jyde analiona
 suala la malipo ya mkwanja mrefu kwenye nafasi ya kuwa video queen 
halipo kabisa Tanzania.
“Suala la kuwa video queen na kulipwa hela nyingi kwa Tanzania halipo. Labda mtu useme ameniomba nitokee kwenye video yake kama kumsapoti, lakini sio kusema kwa ajili ya malipo; ni nani anaweza kunilipa kwangu mimi kutokea kwenye video yake na atanilipa bei gani? Sio kwamba nina hela nyingi, lakini kipato chetu sisi ni kidogo nitakuwa na muonea hata huyo mtu ambae nitaanza kumchaji hela yake kwakuwa nimetokea kwenye video yake”. Lady Jaydee told Bk

Lady Jaydee who’s also called queen wa Bongoflava Tanzania kwasasa 
anajiandaa kufanya Video Premier party leo itakayo fanyika ukumbi wa 
Nyumbani Launge ikiwa ni siku chache baada ya kuitambulisha single yake 
mpya iitwayo Joto Hasira feat Prof Jay.
Credits : Baab Kubwa Magazine
Credits : Baab Kubwa Magazine
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII