GARI AINA YA SPACIO NYEUSI T 424 CHH IMEIBIWA DAR, PIGA SIMU NAMBA 0713 302 823 au 0753 481 368 KAMA UKIIONA. ZAWADI NONO KUTOLEWA


 
 Ndugu zangu Watanzania wenzangu naomba msaada kwenu.
Usiku wa leo Tarehe 01/04/2013 kuamkia 02/04/2013 mida ya saa tano na nusu hivi (23:30 pm). Mtaa wa Goba Mbezi ya Tangi Bovu nyumbani Nimeibiwa Gari aina ya SPACIO number T 424 CHH NYEUSI.



 Ni majambazi waliokuwa wakifuatilia Gari kwa nyuma tangu Mitaa ya Samaki Mbezi beach mpaka gari ilipofika nyumbani kabisa getini ndipo walipotrack gari kwa kuja mbele na kuamulu Dereva ashuke na kulala chini kifudifudi, Wakiwa wameshikilia Bastora na Mapanga, waliingia nakuondoa Gari kisha kutokomea pasipojulikana.
Taarifa nimepeleka Kituo cha POLICE tayali so naomba msaada kwa watanzania wenzangu naamini sote ni ndugu na tunaupendo wa dhati kwa kila mmoja wetu, Atakae iona gari hii atoe taarifa kituo cha POLICE chochote karibu yake au apige simu number 0713 302 823 au 0753 481 368
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs