TAZAMA PICHA : JAMAA AGONGWA NA TRENI MOROGORO
Pikipiki ikiondolewa eneo la ajali.
KIJANA mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, juzi (Jumatano)
aalinusurika kifo baada ya kugongwa na treni akiendesha bodaboda eneo la
Nunge mkoani Morogoro. Kijana huyo aliyekuwa na pikipiki yenye namba za
usajili T 859 BDU inadaiwa kuwa alikuwa akiwaisha chakula kwa ajili ya
mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII