DIAMOND ASHAMBULIWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUKOSEA KUANDIKA LUGHA YA KIINGEREZA
Wabongo kwa kukosoa hawajambo.. Katika pitapita yangu instagram kuna 
picha mkali Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea 
watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea. 
JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini watu walivyokua 
wakicomment
 
 

 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII