BAADA YA MISUKOSUKO MINGI, HATIMAYE RAY C ABATIZWA NA KUOKOKA...TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA
Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo
hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya.
Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno
mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua
njia njema.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII