HAYA NDIYO MAPOKEZI ALIYOYAPATA FEZA BAADA YA KUTUA TZ....TAZAMA PICHA

Mwakilishi
 wa Tanzania katika jumba la  Big Brother 'The Chase' aliyetolewa 
Jumapili Agosti 11 Feza Kessy  amewasili leo jioni Tanzania katika 
uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K  Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.
Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.

  Rafiki wa karibu sana na Feza anayejulikana kwa jina la Vanessa Mdee nae alikuwepo kumpokea rafiki yake.

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII