HII NDEGE (BOEING 747) AMBAYO MFANYABIASHARA KAIGEUZA NYUMBA YA KULALA WAGENI DDUUH
Ndani
ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata
utandawazi, vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala
na ipo karibu na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Hii ni sehemu iliyokuwa ya rubani wa ndege hiyo unaweza kulala hapa kuanzia £170 kwa usiku mmoja
Nyumba
hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na
uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Moja ya chumba katika ndege hiyo
Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
Sehemu ya kupumzikia
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII