UNAJUA UWANJA WA NDEGE WA DAR UTAKAVYOKUWA BAADA YA MATENGENEZO??? TAZAMA PICHA HIZI UJIONEE
Pamoja na kuzipata hizi picha kuna
maswali unaweza kuwa nayo ikiwemo Idadi ya ndege zitakazoweza kuhudumiwa
kwenye uwanja huu mpya? utamalizika lini? gharama yake na mengine…
Source:Millarda Ayo
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII