HII NDIO LIST YA MATAJIRI 50 WENYE PESA ZAIDI AFRICA, WATZ WAMO WANNE
 Mtandao
 wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya 
matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao 
pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.
Mtandao
 wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya 
matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao 
pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.
List imeongozwa na 
Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza 
ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja. Cheki 
list yote hapa.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.
Unapenda kupata stori motomoto kama hizi kila siku na kwa wakati? jiunge kuwa mdau wa Tanzanianewz.com kupitia facebook.com/ Tznews 70 na twitter.com/TzNews 70  
-Millardayo.com
 
 





 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII