MIKE TYSON ATOBOA SIRI, ASEMA KITU ALICHOKUWA AKITUMIA ILI ASHINDE MAPAMBANO YAKE....SOMA HAPA

Hilo ni moja kati ya mambo makubwa aliyoyaandika Mike Tyson kwenye kitabu chake ambapo anakwambia pia alikua akitumia uume bandia kwenye vipimo.
Mike Tyson anasema mpaka leo hii anapokutana na watu, huwa kinaweza kutokea chochote kile kutokana na mood yake wakati huo ama siku hiyo, wakati mwingine anaweza kuwa na hasira na akapiga mtu yeyote atakae mchokoza lakini wakati mwingine anaweza kuwa mpole.
Source:Millard Ayo
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII