KAMA HUKUWAHI KUISIKIA HOTUBA YA KWANZA KABISA YA MANDELA KWA DUNIA NZIMA BOFYA HAPA
Tarehe tatu mwezi Februari mwaka 1962, Nelson Mandela alitoa hotuba yake ya kwanza ya kimataifa. Alikuwa anahutubia kongamano la viongozi wa kiafrika nchini Ethiopia ili kutafuta uungwaji mkono wa harakati za ANC za ukombozi...na hivi ndivyo mambo yalivyokwenda
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII