PICHA ZAIDI YA 20 YA KILICHOJIRI KATIKA "INSTAGRAM PARTY" JANA, MASTAA KIBAO WALIKUWAPO
Boxing
day ya mwaka 2013 imeingia kwenye kumbukumbu muhimu kwa watumiaji wa
mtandao wa Instagram kujumuika na kukutana sehemu moja ana kwa ana kwa
lengo la kufahamiana zaidi. Party
hii ilihudhuriwa na mastar kibao akiwemo Barnaba,Jokate,Wema
Sepetu,Hisia wa Tusker Project Fame na wengine kibao ndani ya Ambassador
Lounge.hizi ni baadhi ya picha zikionyesha matukio mbalimbali kama
Redcarpet,Perfomance ya Hisia na jinsi watu walivyoifurahia siku hii.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII