PREZO NA JAGUAR WAZIDI KUONYESHANA JEURI YA PESA, TAZAMA MWENYEWE HAPA
 Unaambiwa
 wiki moja baada ya staa wa muziki Kenya (Jaguar) kuonyesha gari lake 
jipya aina ya Jaguar ambalo alionekana nalo alipokwenda kufanya show, 
zimetoka picha za nje ndani za gari analotembelea rapper CMB Prezzo wa 
Kenya ambae mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa 
malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa 
kifedha.

Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko
 mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya 
jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time 
yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na 
ngazi za kupandia jukwaani.
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII