SOMA ALICHOPOST ZITTO KUHUSU CHADEMA NA DR SLAA HAPA
Kwenye akaunti yake ya FaceBook Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mhe. Zitto Kabwe ameandika maneno haya :
"Tatizo la baadhi yetu ni kuishi maisha ya uongo na fitna. Sina tatizo na Dr Slaa. Ni Katibu Mkuu wa chama na amefanya mengi mazuri kufikisha chama hapa.
Sasa hivi watu wanajitahidi sana kuchochea kwa kugeuza maneno ionekane kwamba nina tatizo na Katibu Mkuu wangu. Ziara yangu Kigoma haikuwa 'kumjibu Dr Slaa' kama inavyosemwa. Sina cha kumjibu Katibu Mkuu wangu.
Ninalo jukumu kama mwanachadema kutoa maelezo kuhusu tuhuma dhidi yangu na pia kuongea na wananchi kuhusu matatizo ya nchi yetu. Hayo sio majibu kwa Dr Slaa kwa sababu ni uonevu kusema Dr Slaa ni Kamati Kuu.
Mimi nitaendelea kutumikia wananchi wa Kigoma na watanzania wote kama mwanachadema na Mbunge. Anayesema naidhoofisha Chadema ni muongo na apuuzwe."
Posted by
Kijicho


UMEZISOMA HIZI?? KAMA BADO SOMA SASA HVI
- "NINGEZAA NA DIAMOND ANGENIHARIBIA WATOTO MAANA ANA SURA MBAYA NA DOMO LA AJABU" KAULI YA PENNY!!! MAKUUBWAAA
- KWA MARA YA KWANZA : MPENZI WA JACK CLIFF JUX AFUNGUKA KUHUSU MPENZI WAKE KUKAMATWA NA MADAWA CHINA
- YULE MWIMBA GOSPEL ALOBADILIKA NA KUANZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU AREKODI VIDEO YA WIMBO WAKE AKIWA UCHI, TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII