TAZAMA PICHA ZA BIRTHDAY YA MKE WA MENGI, DIAMOND ALIALIKWA KUBURUDISHA
Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa
kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande
fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake
kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi
walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha
baada yakutizama show kali ya Diamond.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII