'UTAIKUBALI' TU, UTAKE USITAKE- PRINCE GEORGE :DOWNLOAD NA TAZAMA INTRODUCTION VIDEO KATIKA E -NEWS EATV KUTOKA KWA PRINCE GEORGE

Hii ni ngoma nyingine toka kwa msanii Prince George, alianza kutoka na ngoma mbili ya kwanza ikijulikana kama Hisia zangu, na ngoma ya pili We nenda iliyokuwa na mahadhi ya kwaito vile, UTAIKUBALI ni hit nyingine alofyatua Prince George hivi sasa akiwa ametoka kivingine kabisaaa, Unaweza kuipata ngoma yake kwa kuidownload hapa.
Vile vile tazama video ya utambulisho wa ngoma hiyo alipohojiwa na Dominick Nyarifa wa E-news EATV hapo jana
KEEP IT UP BRO....
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII