WATANGAZAJI 10 BORA WA RADIO STATIONS 2013 NDO HAWA
Hivi
 karibuni Tulifanya mazungumzo na watangazaji wakongwe watatu nchini, 
Godwin Gondwe aka Double G ambaye kwa sasa ni lecturer wa chuo kikuu cha
 Tumaini na pia msomaji wa habari wa ITV na shughuli zingine, Sosthenes 
Ambakisye aka SOS B ambaye kwa sasa hayupo tena kwenye utangazaji na 
Basil Mbakile ambaye kwa sasa ni mtangazaji/reporter wa idhaa ya 
Kiswahili ya BBC.
 Wote
 hawa kwangu ni miongoni mwa watu walionivutia kwenye kazi ya utangazaji
 (role models) na niliwatafuta kwa lengo la kutaka kushare nao hofu 
nilionayo sasa kwenye vipindi vya burudani katika redio nyingi za 
Tanzania. Hofu hiyo ni kuwa kwa mwaka 2013, vipindi vya radio vya 
burudani vimeshuka kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka iliyopita. 
Kushuka
 kwake kunatokana na watangazaji wengi kufanya kazi kwa mazoea, 
kutojiandaa, kukosa vitu exclusive vya kuweka kwenye vipindi vyao, 
udhaifu katika kufanya interview na wasanii, uchaguzi wa nyimbo 
unaogubikwa na upendeleo hasa kwa wasanii wa nyumbani na mambo mengine. 
Wote kwa pamoja walikiri kuwepo kwa tatizo hilo.
Katika
 maongezi hayo ambayo mwakani naweza kuja kuyaandikia makala maalum 
kuhusiana na hilo, Godwin Gondwe aliniambia kuwa watangazaji wengi 
wanatanguliza umaarufu badala ya bidii ya kazi. Alisema watangazaji 
wengi hasa wa redio kubwa wamelewa umaarufu walionao ambao unawafanya 
wasijitume tena kama walivyokuwa wakifanya zamani.
SOS
 B alinieleza kuwa watangazaji wa sasa hawajiandai kabisa na hivyo 
vipindi vyao kushindwa kuwa na vitu muhimu vya kuwalisha wasikilizaji. 
Alimaanisha kuwa, vipindi vingi hukamilika na kumwacha msikilizaji bila 
kitu kinachoweza kumuongezea maarifa au elimu mpya kuhusu burudani na 
wasanii licha ya kuburudika. 
Basil
 Mbakile alinieleza kuwa watangazaji wengi wanashindwa kuwa wabunifu 
kwakuwa wanakosa mapenzi ama ‘passion’ ya utangazaji na hivyo 
kuuchukulia utangazaji kama ajira kumpatia tu ujira.
Pamoja
 na hofu hiyo wapo watangazaji wa radio wanaoendelea kujituma kuvifanya 
vpindi vyao viwe bora zaidi. Kwa mwaka 2013, hawa ni watangazaji bora 
zaidi upande wangu na ambao naamini wataongeza bidii zaidi mwaka 2014 
ili wawe bora kupita walivyokuwa mwaka 2013.
1. Millard Ayo – Amplifaya na Clouds FM Top 20

 Kwangu
 na kwa wengine wengi, Millard Ayo ndio mtangazaji bora zaidi Tanzania 
kwa sasa. Kwa miaka miwili mfululizo, 2012 na 2013, Millard amekuwa 
akiongoza kura za maoni za Bongo5 kuhusu mtangazaji anayesikilizwa zaidi
 Tanzania.
Godwin
 Gondwe anamchukulia Millard kama mtangazaji anayejituma zaidi kuliko 
wote Tanzania na kwamba kama angekuwa anafanya kipindi muda sawa na 
yeye, basi angekuwa anampa hofu sana. Naye mtangazaji mkongwe, Masoud 
Masoud wa TBC Taifa, aliwahi kusema kwenye kipindi cha Mkasi mwaka huu 
kuwa, Millard ndiye mtangazaji anayemkubali kwa sasa na humkumbusha enzi
 zake za ujana wake.
Japo
 si kituo chake cha kwanza kuanza kazi, jina la Millard lilianza 
kufahamika nchini kupitia kipindi cha Milazo 101 cha Radio One. Sauti 
yake yenye mamlaka na ubunifu hewani, ulikifanya kipindi hicho kuwa 
maarufu kuliko vingine vya burudani katika radio hiyo inayomilikiwa na 
kampuni ya IPP.
Kuondoka
 kwake Radio One kulikuwa ni pigo kubwa lakini lenye neema kwa Clouds 
FM. Alihamia Clouds FM na kuanzisha kipindi kipya kiitwacho Amplifanya 
ambacho kilichukua nafasi ya kipindi cha nyimbo za kiafrika, Bambataa. 
Haikuchukua muda kipindi cha Amplifanya kikawa miongoni mwa vipindi bora
 kabisa Clouds FM. Kipindi hicho pia ni miongoni mwa vipindi 
vinavyoiingizia fedha nyingi redio hiyo na kumfanya Millard kuwa 
miongoni mwa watangazaji wa kituo hicho wanaolipwa mshahara mkubwa 
zaidi.
Leo
 hii Millard ni miongoni mwa watangazaji bora Tanzania na wanaosikilizwa
 zaidi. Si maarufu tu redioni bali pia ndiye mtangazaji wa Tanzania 
mwenye mashabiki wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii. Ana zaidi ya 
followers 75,000 kwenye Twitter huku Facebook akiwa na likes zaidi ya 
153,000.
Umaarufu
 wake kwenye mitandao ya kijamii umemfanya ageuke brand na kuyavutia 
makampuni makubwa kama CRDB Bank, Fast Jet na mengine kudhamini kile 
anachotweet. Tweets zake tu zinamuingizia fedha huku akimiliki pia 
website yake binafsi yenye wasomaji lukuki na yenye matangazo mengi. 
Kwa
 mshahara anaoupata, kazi ya uripota wa DSTV, ubalozi wa Fastjet, 
website yake, deal za voice-overs na mambo mengine, Millard anaingiza 
takriban ama zaidi ya shilingi milioni 10 kila mwezi.
Millard
 ni zaidi ya mtangazaji, bali ni mwandishi mwenye ‘pua ya habari’ (nose 
for news) huku akiongoza kwa kuja na angle za kipekee za habari zenye 
mvuto kwa watu (human interest stories) zinazokifanya kipindi chake cha 
Amplifaya kuteka matangazo ya jioni siku za wiki.
Pamoja
 na kupata mafanikio hayo, Millard ameendelea kuwa mchapakazi, simple, 
mtu anayejituma kutafuta habari hata sehemu za mbali kabisa, mcheshi na 
mtu wa watu. Hakuna shaka kuwa, Millard ana mustakabali wa nguvu  kwenye
 fani hiyo. Ni mfano wa kuigwa kwa watangazaji wengine na hazina kubwa 
kwa wazazi wake, Clouds Media Group na hata taifa kwa ujumla.
2. Hamis Mandi aka B12 – XXL Clouds FM

 muda mrefu, XXL kimeendelea kuwa kipindi namba 1 cha burudani nchini. 
Kama wimbo wa msanii usipochezwa kwenye XXL, basi wimbo huo una kasoro. 
Yeye mwenyewe B-Dozen anajiita mfalme wa vipindi vya mchana na hakuna 
msanii yeyote mkubwa wa Bongo ambaye hajawahi kuhojiwa na mtangazaji 
huyu mahiri. Kwangu mimi, B-Dozen ndio roho ya XXL ambaye kama 
asipokuwepo, hakuna mtangazaji anayeweza kukipa kipindi hicho ladha 
iliyozoeleka. Ndicho kipindi ambacho nyimbo kali za wasanii 
zimezinduliwa exclusively mwaka 2013. Mwaka huu B12 alitajwa kwenye 
orodha ya Top Ten Most ya Channel O ya watangazaji bora wa Afrika huku yeye akikamata nafasi ya 9.
3. Raheem Da Prince – The Switch, Times FM

 Utangazaji
 wa Raheem na uelewa wake wa muziki, hunifanya nivutike sana kusikiliza 
kipindi chake cha The Switch kila Jumamosi. Japokuwa Madj wa show hiyo 
DJ D-Ommy na DJ KU ni sehemu ya kivutio cha show hiyo, ufuatiliaji wa 
Raheem kuhusiana na muziki wa Marekani na kwingine, hunifanya nitoke na 
elimu kubwa kila nisikilizapo show yake. 
Amekuwa
 akijituma sana kuchambua matukio ya muziki yakiwemo kuchambua album za 
wasanii wa Marekani na mambo mengine. Mwaka huu nilifurahia zaidi 
uchambuzi alioufanya kwa kushirikiana na Reuben Ndege aka Nchakalih, 
Hermy B na Miss East Africa 2012, Jocelyne Maro wa album ya Jay Z, Magna
 Carta Holy Grail. Sijawahi kusikia uchambuzi mkali wa muziki kama huo 
kwenye redio yoyoye ya Tanzania kwa miaka mingi.
4. Vanessa Mdee – The Hitlist, Choice FM

Vanessa
 Mdee hutangaza kipindi cha The Hitlist cha Choice FM na ndio sehemu 
yangu iliyosalia ya kusikiliza nyimbo mpya za Marekani ambazo kwa sasa 
ni nadra kuzikisia kwingine. Awali show niliyokuwa nikiitegemea kwa 
kusikiliza selection nzuri ya nyimbo mpya za Marekani ilikuwa ni kwenye 
The Cruise ya Choice FM kipindi ambacho Steve Kabuye alikuwa anatangaza 
bado. Napenda uchangamfu wa Vee Money kwenye show yake na uelewa mzuri 
wa ngoma za nje.
5. Jabir Saleh – The Jump Off, Times FM
 Namchukulia
 Jabir Saleh aka Kuvikacha kama maktaba ya muziki wa vijana. Nadiriki 
kusema ni watangazaji wachache sana Tanzania wenye uelewa wa muziki wa 
Hip Hop kama alionao Jabir. Ukisikiliza kipindi cha The Jump Off, hakuna
 shaka kuwa elimu yako kuhusu Hip Hop itapanuka zaidi na kamwe huwezi 
kujuta kumsikiliza.
6. Sam Misago – Power Jams , EA Radio

 Power
 Jams na XXL ndivyo vipindi vyenye ushindani zaidi kwa siku nyingi 
katika vipindi vya mchana. Akiwa amejipa jina ‘The Presenter’s 
President, Sam ni miongoni mwa watangazaji wenye mashabiki wengi mchana.
7. Bizzo – Show Time; New Chapter , RFA

 wa Bizzo ulianzia Ebony FM, Iringa ambako alikuwa akifanya show iitwayo
 The Splash. Kwa sasa Bizzo ambaye jina lake halisi ni Renatus Kiluvya, 
ni mtangazaji wa kipindi cha Show Time cha Radio Free Africa. Kwa kiasi 
kikubwa amejitahidi kuliziba pengo la Kidbwoy aliyekuwa amezoeleka sana 
kwenye kipindi hicho.
8. Perfect Crispin – Club 10, Clouds FM

7. Bizzo – Show Time; New Chapter , RFA Umaarufu

Perfect
 ni mtangazaji wa kipindi cha vijana hususan wa sekondari cha Club 10. 
Ni kipindi maarufu zaidi kwa wanafunzi wa sekondari kuliko vyote nchini 
na kwa kiasi kikubwa ameendelea kukimudu na kukiendesha kwa ustadi 
mkubwa mwaka 2013.
9. Jimmy Jamal – Daladala Beat, Magic FM
 Dala
 Dala Beat ni miongoni mwa show kongwe kabisa za burudani nchini. Jimmy 
ni mtangazaji mwenye sauti nzito na mwenye uelewa mkubwa wa muziki wa 
ndani na nje. Napenda namna anavyofanya interview zake na uchangamfu 
hewani.
10. King David

 wengi, King David ni jina geni kabisa. Lakini kitu kimoja cha uhakika 
kuhusu jamaa huyu ni kwamba ukimsikiliza lazima utamkubali na kama 
angekuwa anatangaza redio kubwa, kwa sasa angekuwa akicheza ligi moja na
 watangazaji wengi hao juu. Ana sauti nzuri na yenye mamlaka, anajua 
muziki wa ndani na nje na ni mbunifu. Alikuwa mtangazaji wa Uplands FM 
ya Njombe ambako alikuwa akifanya vipindi kama  Bonge la Drive na 
Uplands FM Top 20 na kwa sasa amehamia kwenye kituo cha redio kipya 
kiitwacho Kings FM cha Njombe kitakachoanza rasmi matangazo mwakani Dala
 Dala Beat ni miongoni mwa show kongwe kabisa za burudani nchini. Jimmy 
ni mtangazaji mwenye sauti nzito na mwenye uelewa mkubwa wa muziki wa 
ndani na nje. Napenda namna anavyofanya interview zake na uchangamfu 
hewani.
10. King David
Dala
 Dala Beat ni miongoni mwa show kongwe kabisa za burudani nchini. Jimmy 
ni mtangazaji mwenye sauti nzito na mwenye uelewa mkubwa wa muziki wa 
ndani na nje. Napenda namna anavyofanya interview zake na uchangamfu 
hewani.
10. King David
 
 Source : Bongo 5
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII