HIVI NDIVYO M4C ILIVYOKULA VICHWA MOROGORO, AFANDE SELE NAYE ALIHUTUBIA
 Halima Mdee:
 Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa 
Mtibwa, katika mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Halima Mdee:
 Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa 
Mtibwa, katika mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana. Mbowe na Afande Sele:
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman 
Mbowe akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele,
 wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Dama, uliofanyika katika 
Kata ya Tungi mjini Mororgoro jana.
Mbowe na Afande Sele:
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman 
Mbowe akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele,
 wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Dama, uliofanyika katika 
Kata ya Tungi mjini Mororgoro jana. Afande Sele:
 Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele akiwahutubia 
wananchi wa Kata ya Tungi mjini Morogoro jana, katika mkutano wa hadhara
 wa Operesheni M4C Pamoj Daima, ambao pia ulihutubiwa na Mwenyekiti wa 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
Afande Sele:
 Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele akiwahutubia 
wananchi wa Kata ya Tungi mjini Morogoro jana, katika mkutano wa hadhara
 wa Operesheni M4C Pamoj Daima, ambao pia ulihutubiwa na Mwenyekiti wa 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe. Mbowe, Halima wakiondoka Ifakara:
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokreasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa
 Kawe, Halima Mdee wakiondoka baada ya kuhutubia mkutano wa Operesheni 
M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Ifakara jana.
Mbowe, Halima wakiondoka Ifakara:
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokreasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa
 Kawe, Halima Mdee wakiondoka baada ya kuhutubia mkutano wa Operesheni 
M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Ifakara jana. Mkutano Ifakara:
 Maelefu ya wakazi wa mji wa Ifakara, wakiwa kwenye mkutano wa hadhara 
wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na Mweneyekiti wa 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana.
Mkutano Ifakara:
 Maelefu ya wakazi wa mji wa Ifakara, wakiwa kwenye mkutano wa hadhara 
wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na Mweneyekiti wa 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana. Mabango Ifakara:
 Baadhi ya wananchi mji wa Ifakara wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe 
mbalimbali, wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao 
ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(Chadema), Freeman Mbowe jana.
Mabango Ifakara:
 Baadhi ya wananchi mji wa Ifakara wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe 
mbalimbali, wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao 
ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(Chadema), Freeman Mbowe jana. Wananchi Ifakara:
 Sehemu ya maedlfu ya wakazi wa mji wa Ifakara, wakitawanyika baada ya 
mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na Mwenyekiti 
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana.
Wananchi Ifakara:

(Picha na JF)
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII