KWA MARA YA KWANZA : MPENZI WA JACK CLIFF JUX AFUNGUKA KUHUSU MPENZI WAKE KUKAMATWA NA MADAWA CHINA
Muimbaji
wa kundi la Wakacha, Jux amefunguka kwa mara ya kwanza tangu mpenzi
wake Jackie Cliff akamatwe na madawa ya kulevya aina ya heroin huko
Macau, China, December mwaka jana.
Jackie alikamatwa na madawa hayo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 220 akitokea Thailand.
Jux
ambaye hajawahi kuuweka wazi uhusiano wake na Jackie jana alipost picha
akiwa amekaa nje ya gari lililo mlango wazi huku akiwa amejiinamia na
kuandika: Kila kitu kinatokea kwa sababu kwenye maisha.”
Hadi sasa hatma ya Jackie nchini China haijulikani na bado anashikiliwa napolisi. Kuna uwezekano mkubwa akafungwa jela huko huko.
Hadi sasa hatma ya Jackie nchini China haijulikani na bado anashikiliwa napolisi. Kuna uwezekano mkubwa akafungwa jela huko huko.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII