Showing posts with label hollywood. Show all posts

TAZAMA PICHA : KELLY ROWLAND ALIPOTEMBELEA UWANJA WA FISI DAR

0 comments







Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya
Uswahilini tangu akiwa USA. Msanii huyo ametua nchini kwa tiketi ya MTV kupitia taasisi yake inayojishughulisha na kampeni za kupambana na Ukwimwi (Staying Alive Foundation) ya nchini Marekani, Kelly akiwa balozi wake. Akiwa Uwanja wa Fisi, ambako kunasifika kwa ufuska wa kupindukia na rate kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa wasichana wadogo, Kelly alitembelea NGO ya EYG (Elizabeth Youth Group) inayojishughulisha na kutoa misaada ya elimu ya HIV/AIDS, uchangudoa, ulevi pamoja na uvutaji bangi kwa vijana nchini. 



Source-Gpl


Soma zaidi Hapa »

PICHA ZA UZINDUZI WA MOVIE YA SKYFALL 007 YA JAMES BOND NDANI YA MLIMANI CITY

0 comments
Naweza kusema baada ya kuzinduliwa huko London sasa jana movie hii inayokwenda kwa jina la SKYFALL 007chini ya udhamini wa bei ya Heineken ilizinduliwa rasmi hapa Tzee century cinemax at mlimani city.
                                                  Team nzima ya The weekend chart show
                                                        Vanessa Mdee na marafiki zake
                                                               Izzo B,B 12 na Perfect
                                                                A.Y na Madam Ritha
                                                           Sam Misago na mshikaji wake
                                                                 Captain G .HaBash
                                                                     Umetuonaaa!!!!
                                                               Nancy Sumary na Shaa
                                                               Tumetokelezeaaa!!!!!!
                                                                         Dee Andy
                                                           Lady Haha na marafiki zake
                                 Reuben ndege a.k.a Ncha kali akiwa na mdau mwenzake

Soma zaidi Hapa »

BOBBI KRISTINA BROWN’ AVISHWA PETE YA UCHUMBA

0 comments
BONGONEWZ BLOG

Mwezi wa nane mwaka huu binti wa aliyekuwa mwanamuziki maarufu duniani Whitney Houston anayekwenda kwa jina la Bobbi Kristina Brown alivishwa pete na kaka yake wa kufikia Nick Gordon.
Pete hiyo yenye kito cha madini ya ‘sapphire’ kilichozungukwa na chembe za almasi iliyowekwa kidoleni kwa binti huyo, wadaku wameitafsiri kama alama ya uchumba japokuwa wawili hao wamekana wakisema ilikuwa ni zawadi tu.

Hata hivyo kipande cha kipindi cha mahojiano cha luninga alichorekodiwa binti huyo mwenye umri wa miaka 19 kinachoitwa The Houstons: On Our Own kidaiwa kuthibitisha kuwa binti huyo anachumbiwa na Gordon.
Nick Gordon kijana mwenye miaka 22 amelelewa na hayati Whitney Houston kama mwanae, hivyo ni sawa na kuwa kaka wa Bobbi Kristina Brown ambaye ghafla baada ya kifo cha mwanamuziki huyo wameonyesha kupendana.

Soma zaidi Hapa »

RIHANNA AMETANGAZA ALBUM MPYA ‘UNAPOLOGETIC’

0 comments
BONGONEWZ BLOG
Ni moja kati ya wasanii wanao hit na ngoma kali nzuri huyu si mwingine ni Rihanna.Msanii huyu ukiachana na mwaka huu baada ya kusambaza ngoma yake ambayo ilikuwa inakwenda kwa jina la Talk That Talk, Sasa amerudi na ujio mpya wa album yake ya saba ambayo ameipa jina la "UNAPOLOGETIC "hii ni taarifa sasa kwa wale mashabiki wa Rihanna, now  wakae tayari kwa ujio mpya wa album ya mwana dada Rihanna.......


Soma zaidi Hapa »
Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs