Showing posts with label skendo. Show all posts
"NINGEZAA NA DIAMOND ANGENIHARIBIA WATOTO MAANA ANA SURA MBAYA NA DOMO LA AJABU" KAULI YA PENNY!!! MAKUUBWAAA
9:22 PM 1 comments
Penny ambaye ni mpenzi wa zamani wa Naseeb Abdul "Diamond" haonekani kujutia kitendo cha kumwagana na msanii huyo na badala yake sasa ameanza kuzipa uzito hoja za kumpiga chini Diamond ambaye walidumu naye kimapenzi kwa takribani mwaka mmoja....
Kwa
mujibu wa watu wa karibu na Penny, kitendo cha Diamond
kumpandisha jukwaani Wema Sepetu pale Leaders Club kilipata kila
aina ya laana toka kwa mama mzazi wa Diamond kwani
hakuridhia jambo hilo.....
"Mama
alilalamika sana kuhusu Diamond kumpandisha Wema pale leaders
Club, kimsingi ni kwamba hataki kabisa uhusiano kati ya Diamond
na Wema Sepetu"...Kilisema chanzo kimoja ambacho ni rafiki damu
na familia hiyo.
Wakati
hayo yakijitokeza ndani ya familia ya Diamond, kwa upande wa Wema,
mama yake pia anadaiwa kulalamikia kitendo cha mwanaye kutumika
kila mara kumbusti Diamond pale umaarufu wake unaposhuka...!
"Mama
Wema naye analalamika mwanaye kutumika kama daraja la
kuwavusha watu kwenye umaarufu halafu wakishafanikiwa wanamgeuka
na kumdhalilisha, kifupi ni kwamba hataki kabisa kusikia
mahusiano ya Wema na Diamond" Kilifunguka chanzo hicho.
Aidha
imeelezwa kuwa Diamond amekuwa akimpgia simu Penny mara kwa
mara kumuomba wayamalize lakini Penny amekuwa akimjibu kwa
kifupi kuwa "Nimekuachia Wema Wako"
Taarifa nyingine toka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa Penny amekuwa akijisifu kuachana na Diamond kwa hoja kuu tatu:
Taarifa nyingine toka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa Penny amekuwa akijisifu kuachana na Diamond kwa hoja kuu tatu:
Moja: Kuondokana na skendo zisizo na faida kwake.
Pili: Kupunguza malalamiko toka kwa familia yake.
Tatu: Penny
aliingia katika mahusiano na Diamond si kwa ajili ya mapenzi,
bali kulipa kisasi kwa Wema ambaye aliwahi kumchukulia mpenzi
wake.
"Hata kutoa mimba ya Diamond amekuwa akisema kwamba kama angezaa naye watoto wake wangekuwa na sura mbaya na midomo ya ajabu".Kilimalizia chanzo hicho
"Hata kutoa mimba ya Diamond amekuwa akisema kwamba kama angezaa naye watoto wake wangekuwa na sura mbaya na midomo ya ajabu".Kilimalizia chanzo hicho
Soma zaidi Hapa »
MMH!! SOMA HIZI HEKAYA ZA DIAMOND NA WEMA, MIE BINAFSI SIWAELEWI ELEWI....BOFYA HAPA
8:46 AM 0 commentsHUKU mchumba’ke, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akifungasha virago kurejea kwao, mzee mzima Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametangaza kumuoa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
Ishu hiyo ilijiri ndani ya Viwanja vya
Leaders Club, Kinondoni jijini Dar ambapo mkali huyo wa Bongo Fleva
alikuwa akikamua kwenye…
Stori: Shakoor Jongo na Imelda MtemaHUKU mchumba’ke, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akifungasha virago kurejea kwao, mzee mzima Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametangaza kumuoa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
Ishu hiyo ilijiri ndani ya Viwanja vya
Leaders Club, Kinondoni jijini Dar ambapo mkali huyo wa Bongo Fleva
alikuwa akikamua kwenye sherehe ya Krismasi aliyoiandaa mwenyewe.
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kupanda jukwaani katika viwanja vya leaders.
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kupanda jukwaani katika viwanja vya leaders.
TANGAZO LA AWALI
Awali kabla ya kufikia eneo la kutangaza kuoana, Diamond aliweka wazi jukwaani kwamba yeye na Wema wamerudiana.
Diamond Platnumz akiongea jambo baada ya Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kupanda jukwaani.
Awali kabla ya kufikia eneo la kutangaza kuoana, Diamond aliweka wazi jukwaani kwamba yeye na Wema wamerudiana.
MTIRIRIKO ULIVYOKUWA
Diamond, akiwa ameshika kipaza sauti alikatisha kuimba na kuwauliza mashabiki wake, hasa watoto waliohudhuria kwa wingi tamasha hilo, je, wanataka kumuona shemeji yao?
“Itakuwa si vizuri mkaondoka bila kumuona shemeji yenu, nikuleteeni mumuone?” aliuliza Diamond. Swali hilohilo akalirudia tena ambapo lilipokelewa kwa shangwe huku mashabiki wakilitaja jina la Wema.
Diamond Platnumz na Wema Isaac Sepetu wakijiachia.
WEMA APANDISHWA JUKWAANIDiamond, akiwa ameshika kipaza sauti alikatisha kuimba na kuwauliza mashabiki wake, hasa watoto waliohudhuria kwa wingi tamasha hilo, je, wanataka kumuona shemeji yao?
“Itakuwa si vizuri mkaondoka bila kumuona shemeji yenu, nikuleteeni mumuone?” aliuliza Diamond. Swali hilohilo akalirudia tena ambapo lilipokelewa kwa shangwe huku mashabiki wakilitaja jina la Wema.
Kufuatia kelele za mashabiki, Diamond alimuomba Disco Joker (DJ) wake amuwekee Wimbo wa Ukimwona ambao ulisindikiza ujio wa Wema jukwaani akifuatana na wapambe wa Diamond.
“DJ acha huo, nipigie Wimbo wa Ukimwona watu wangu wa nguvu wamwone shemeji yao kwani tangu nilivyokwenda naye China walikuwa wakisumbuliwa na maneno tofautitofauti kutoka kwenye mitandao ya kijamii,” alisikika Diamond.
JUKWAA SASA
Hali haikuwa ya kawaida jukwaani kwani kilichofuata hapo ni Wema kuonesha kwa vitendo mambo yaliyoashiria kuwa, wawili hao sasa ni mwendo mdundo.
Wema alishuhudiwa akimzungushia mikono Diamond kwenye kiuno jambo ambalo liliwafanya baadhi ya mashabiki wa mastaa hao kutoa machozi ya furaha kuona penzi la wawili hao limerudi upya, wengine walimwambia Diamond amuoe Wema.
“Diamond muoe Wema, mnapendezana sana,” walisikika mashabiki.
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’akimuaga Diamond Platnumz kwa kumkumatia.
MAWIFI WADAI KUHARIBIWA SIKU NA KAKA YAOHata hivyo, kitendo cha Diamond kumwita Wema jukwaani kilionekana kuharibu furaha ya sikukuu kwa ndugu zake kwani bila ya kuuma midomo dada zake staa huyo wakiongozwa na Esma Khan walinuna na kuanza kuondoka.
“Yaani siku yangu imeshaharibika, nilikuja nina furaha sasa imepotea, tuondokeni ndugu zanguni,” alisema Esma akiwaambia Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ na Halima Haroun ‘Kimwana’.
Diamond Platnumz na Penny wakiwa pamoja enzi za mapenzi yao.
MAMA DIAMOND ASHANGAAKitendo cha ndugu hao kukasirika hakikupokelewa vizuri na bi mkubwa wao yaani mama Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ambaye aliwajia juu akiwashangaa.
“Wajinga nini? Sasa walitaka Diamond… (tusi) wao, mtu ameshaamua kupenda wamwache, mi’ mwenyewe nimeshajifunza, sitaki kuingilia penzi lake,” alisema mwanamke huyo ambaye mjini anazungukia usafiri aina ya Altezza.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Baada ya shoo hiyo iliyomalizika saa moja usiku, paparazi wetu
alimfuata Diamond akiwa amesimama na Wema na kuwauliza kama kweli wana
nia ya kufunga ndoa.“Hilo mwana mbona lipo wazi, nataka kumuoa staa na nataka kuzaa na staa,” alisema Diamond huku Wema akiwa hapingi.
MAMA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND
Wakati Dimaond akitambia ndoa na Wema, siku hiyohiyo ya Krismasi, mama wa Wema, Mariam Sepetu alidaiwa kutangaza vita na mwanamuziki huyo baada ya kusikia tetesi kuwa amerudiana na mwanaye.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa mama Wema (jina tunalo) mama wa staa huyo alichukizwa na kitendo cha Diamond kurudiana na mwanaye kwani anaamini anamchezea tu.
Rafiki huyo alizidi kudai kuwa, taarifa hizo zimemuweka mama huyo kwenye wakati mgumu na kudai kuwa popote atakapokutana na mwanamziki huyo atampopoa mawe au machungwa hata ikiwa siku ya ndoa yao.
“Mama Wema amesema hampendi Diamond, popote atakapomuona itakuwa vita ya wawili, kama kuna jiwe atamrushia, hata machungwa kama yapo yatakuwa halali yake,” alisema rafiki huyo.
WOSIA WA MZEE SEPETU
Mpashaji huyo wetu alizidi kufunguka kuwa, mama Wema ana wosia mkononi ambao aliuacha marehemu mumewe, mzee Isaac Abraham Sepetu.
Alisema katika wosia huo, mzee huyo alisema hataki Diamond amuoe Wema na kama mrembo huyo atakiuka wosia huo atapatwa na laana mbaya katika maisha yake.
“Kinachomuumiza zaidi mama Wema ni huo wosia, mzee Sepetu alisema hataki mtoto wake aolewe na Diamond, kama atakataa kuna kitu kibaya kitamkuta katika maisha yake,” alisema rafiki huyo.
MAMA WEMA ASAKWA
Baada ya kupata habari hizo, gazeti hili lilimvutia waya mama Wema ili kuweza kuthibitisha madai hayo ambapo alisema kuwa, hayuko tayari kuzungumzia jambo hilo kwa wakati huo mpaka atapoamua akisisitiza muda si mrefu.
“Jamani nina mambo mengi sana ya kufanya na sijatulia kabisa siko tayari kuzungumza chochote kwa sasa
SOURCE : GPL
Soma zaidi Hapa »
DUUH!! HII SKENDO WEMA ATACHOMOKEA WAPI? AAMUA KUTOKA NA DOGODOGO HUYU, SOMA NA SIKILIZA UTHIBITISHO HAPA
6:40 PM 0 commentsMrembo anayekimbiza katika tasnia ya Bongomovies Wema Sepetu amekumbwa na skendo nyingine matata kama kawaida yake, baada ya Diamond kutoeleweka sasa aamua kutoka na msanii wa Bongofleva ambaye ni mdogo saaana kiumri kwake ajulikanaye kwa jina la Mirror ambaye alihit sana na ngoma yake ya MY ONE AND ONLY. Akichokonolewa gossip cop leo Mirror aliruka vihunzi tuhuma hizo lakini rafiki yake wa karibu bila kujua kuwa gossip cop anamtega alimwaga mkanda mzima hapa,
SIKILIZA MWENYEWE HAPA
Soma zaidi Hapa »
MODEL MAARUFU WA TANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA, HII SASA NI HATARI!! NI JACK CLIFF, SOMA ZAIDI HAPA
8:43 AM 0 comments
Jackie Cliff ambaye ni video queen wa Bongo anadaiwa
kukamatwa na dawa za kulevya nchini China. Star mmoja nchini aliyekataa
kutajwa jina lake aliutonya mtandao wa swahiliworldplanet bila kufafanua zaidi kwa kusema
kuwa Jackie amekamatwa na madawa ya kulevya China:
"Jackie Cliff
amekamatwa na unga China". alisema star huyo huku akitutumia na picha za
mwanamke aliyefungwa kitambaa usoni baada ya kukamatwa na dawa hizo na
mwanamke huyo anadaiwa ni Jackie Cliff. Angalia picha hizo hapo
chini..........
Hata hivyo baadhi ya mitandao jana iliweka habari za mwanamke mmoja wa kitanzania kukamatwa na dawa za kulevya huko china lakini bado habari hizo hazikubainisha mwanamke huyo ni nani na usiku huu ndiyo ikasemekana ni Jackie Cliff. Habari hiyo inasomek kama ifuatavyo:
"Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao. Dawa hizo zilikutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na kufanyiwa X-ray ambapo alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.
"Mwanamke huyo alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita. Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko Chima.
"Pichani ni mwanamke huyo wa Kitanzania (akiwa amefunikwa uso) aliyekamatwa na kilo 1.1 za heroin huko Macau. Hapo amepigwa picha na vidonge vyake kwenye press conference huko Macau, Disemba 19, 2013."
Hata hivyo baadhi ya mitandao jana iliweka habari za mwanamke mmoja wa kitanzania kukamatwa na dawa za kulevya huko china lakini bado habari hizo hazikubainisha mwanamke huyo ni nani na usiku huu ndiyo ikasemekana ni Jackie Cliff. Habari hiyo inasomek kama ifuatavyo:
"Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao. Dawa hizo zilikutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na kufanyiwa X-ray ambapo alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.
"Mwanamke huyo alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita. Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko Chima.
"Pichani ni mwanamke huyo wa Kitanzania (akiwa amefunikwa uso) aliyekamatwa na kilo 1.1 za heroin huko Macau. Hapo amepigwa picha na vidonge vyake kwenye press conference huko Macau, Disemba 19, 2013."

CREDIT : LE MUTUZ BLOG
Soma zaidi Hapa »
MAKUBWA!!!! WAKENYA MAARUFU WAAMUA KUCHEZA MOVIE YA 'NGONO'...TAZAMA PICHA YA BEHIND THE SCENE HAPA
1:11 PM 0 comments
The controversial and highly hyped House of Lungula is about to hit the silver screens. If you have not heard about the film, it’s about the weird s3x#@l habits of Kenyans packaged with some humor.

Some of the actors and actresses acting in the controversial film which will rock the industry include TPF judge Ian Mbugua, former BBA contestant Sheila Kwamboka, KTN’s Nice Githinji, Citizen TV’s Sarah Hassan, Liz Njagah among others.
Below are behind the scene photos of the making of the film:










Soma zaidi Hapa »
DIAMOND ASEMA AMETOKA NA LULU, LULU AMCHARUKIA NA KUMPA ZA USO!!! SOMA STORY NZIMA HAPA
9:51 AM 0 commentsSTAA kiwango katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha uvumi uliozagaa mitaani kuhusu kutoka kimapenzi na mbabe wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Imekuwepo minong’ono ya muda mrefu kitaani kuwa, Diamond analilia penzi la Lulu lakini Diamond au Sukari ya Warembo alipoulizwa kuhusu hilo, alisema siyo kwamba analilia tu bali waliwahi kutoka (haijulikani kwenda wapi) naye, madai yaliyotupiliwa mbali na Lulu.
MADAI YA AWALI
Habari zilizotua katika meza ya Risasi Mchanganyiko zinasema kwamba, wawili hao wanafanya kazi za kisanii pamoja (haikuwekwa wazi ni kazi gani kati ya filamu au muziki) lakini tatizo lililopo kati yao ni Diamond kumtaka Lulu.
Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, kilifunguka: “Diamond anashindwa kuelewa, tatizo yeye kila mwanamke anataka kutoka naye. Mwenzake anajua yupo kazini, yeye anataka penzi, ndiyo mzozo uliopo kati yao.”
KAZI KWA DIAMOND
Paparazi wetu alimvutia waya Diamond ili kutaka kupata ufafanuzi kwa upande wake, ambapo aliposomewa maelezo yote alicheka sana kisha akasema: “Nililie penzi la Lulu? Acheni hizo... ngoja nikuambie kitu, siyo kulilia, mimi nimeshawahi kutoka naye. Nilitembea naye kishkaji tu kisha kila mmoja akaendelea na yake.
“Hayo mambo yalishapita na sikutaka kuyaongelea lakini kwa sababu naona kama yanakuzwa, ndiyo maana nimeamua kuweka wazi. Kwa sasa tunaheshimiana kama kaka na dada. Kuna ugumu gani mimi kuwa naye wakati nimeshampitia?”
Risasi: Unasema kweli Diamond?
Diamond: Wa asilimia mia moja.
Risasi: Una ushahidi gani?
Diamond: Watu wanaojua hii ishu ni wawili tu; Wema (Sepetu) na Penny (Penniel Mungilwa). Niliwaeleza kwa uwazi kabisa hawa ili tusielewane vibaya. Kama huamini waulize. Hawa ndiyo niliowapa siri hii.
Paparazi wetu alijaribu kuwatafuta Penny na Wema kupitia simu zao za mkononi lakini hawakupokea.
TURUDI KWA LULU SASA
Akizungumza kwa sauti ya kujiamini, Lulu alimshangaa Diamond na kusema kwamba, si kutoka naye tu bali hana hata kazi anayofanya naye pamoja.
“Nawashangaa sana eti mimi nifanye kazi na Diamond, kazi gani sasa wakati mimi na yeye tupo kwenye fani tofauti? Muziki na filamu wapi na wapi? Kifupi hayo madai hayana ukweli wowote na kila mtu yupo na yake,” alisema Lulu na kuongeza:
Lulu.
“Kwanza mimi siwezi kutoka na Diamond... levo zetu ni tofauti kabisa,
wala hazilingani. Mimi nilianza kutoka kabla yake, nimeanza kujulikana
toka kitambo hicho nina miaka mitano sijui hata kujifuta kamasi
vizuri.... hakuna ukweli wowote.”TUJIKUMBUSHE
Diamond amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na mastaa mbalimbali, huku madai hayo yeye mwenyewe akiyakubali, jambo lililosababisha aitwe Sukari ya Warembo.
Mbali na orodha ndefu aliyotoka nayo Diamond, kinachovuta hisia za wengi ni uhusiano wake wa sasa, ambapo haijulikana kama yupo na Penny, Wema au wote kwa wakati mmoja!
SOURCE : GPL
Soma zaidi Hapa »
UNAMAONI GANI PALE MTU MAARUFU KAMA HUYU ANAPOAMUA KUPIGA PICHA KAMA HII NA KUWEKA MTANDAONI???
1:29 PM 2 commentsWema Sepetu akiwa ameacha mgongo wake wazi.
Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu hivi karibuni ameachia picha tata kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram zikimuonesha akiwa ameacha mgongo wazi, jambo lililotafsiriwa na wengi kuwa ameamua kufunga mwaka huu kwa staili hiyo ya kuacha mgongo nje,
Katika picha hizo, Wema anaonekana kujichora tatoo kibao kuanzia shingoni na kumfanya aonekane tofauti na alivyozoeleka jambo lililofanya wengine wamsifie huku wengine wakimponda mbaya.
“Sasa Wema kujichora hivyo mgongoni ndiyo nini? Bora ungeuacha mgongo wako kama ulivyokuwa zamani,” alichangia mmoja wa wadau na kuungwa mkono na wenzake.
Showbiz ilipomvutia ‘waya’ Wema ili kumuuliza kulikoni ameamua kupiga picha za kuuanika mgongo wake, simu yake ilikuwa ikiita bila kupokelewa
Soma zaidi Hapa »
Msanii anaejulikana kwa
jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na
mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na
leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo.
akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa
na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka
mkoani tangaSoma zaidi Hapa »
Subscribe to:
Posts (Atom)














