LONDON OLYMPIC 2012
Mashindano ya Olympic kwa Mwaka 2012 yamezinduliwa leo tarehe 27 mwezi Julai katika Jiji la London nchini Uingereza. Sherehe hizo  za ufunguzi zilifana sana ambapo pia zilihudhuriwa na Malkia wa Uingereza Elizabeth II na watu wengine maarufu kama Mr. Bean ambaye pia alipata nafasi ya kuburudisha watu katika tukio hilo. Maandalizi ya sherehe kwa mwaka huu yanaonekana kuwa mazuri sana na tutegemee Mambo mazuri zaidi hapo kesho tarehe 28 ambapo mashindano ndiyo yataanza rasmi. 
 TOA MAONI YAKO HAPA CHINI  
 



0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII